Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

Maandamano makubwa hayajawahi kutokea London raia wakiiunga mkono Palestina na Waziri wa Mambo ya ndani kafukuzwa kazi…
 
Attachments

  • twidown.mp4
    9.1 MB

Mkuu.
Wale ni waislamu na waarabu wahamiaji na waarabu raia wa uingereza kwa asilimia 97% na iliyobaki ndio jamii nyingine.
Na jana walifanya vurugu pia hao waarabu mpaka wamekamatwa waarabu 126 walitaka kupigana na polisi jana.
Waafrika wachache sana waliandamana london kuwaunga mkono waarabu
NB : SASA UNALINGANISHA NA HAWA WAKRSTO NA WAZUNGU WA PARIS 97% WALIOANDAMANA KWA WINGI AU UNA IDADI KAMILI YA WATU.
NB: ISSUE YA WAZIRI EBU FAFANUA VIZURI MAALIM
 
HAWA NI WAARABU WALIOZAMIA ULAYA NAMAANISHA WAKAZI HALALI NA WAHAMIHAJI HARAMU ASLIMIA 97% .
NA JANA WAMEFANYA VURUGU LONDON WAKIOMBA CEASE FIRE KWA NIABA YA HAMAS
 
Sasa wapigane sio kulia lia.
Ukienda kupigana na adui basi pigana mpaka mwisho na sio unalilia cease fire!
NB: AKILI ZA WAISLAMU NA WAARABU KUPITIA QURAN NI KWAMBA WAYAHUDI PALE SIO MAHALA PAO PA ASILI.
QUR'AN 9:30
QUR'AN 8:12
Hamas ulishawahi kuona wakilia lia? Kinachokera ni mauaji wa watoto yanayofanywa na Israel
 
Attachments

  • 0423c18c991af6bc4a3668a408d3bb94.jpg
    0423c18c991af6bc4a3668a408d3bb94.jpg
    37.2 KB · Views: 2
Hamas ulishawahi kuona wakilia lia? Kinachokera ni mauaji wa watoto yanayofanywa na Israel
Mkuu hizi picha ni za propaganda za wapiga picha wa hamas ili waonewe huruma na dunia

.
Kwanza wamevua mavazi ya kijeshi afu wanaenda kujificha ndani ya raia, i mean wanawake na watoto na wazee.,,hii technical ya kitoto kweli.
Au kujificha hospitalini
 
View attachment 2812733

Propaganda za kuhalalisha mauaji ya watoto, kujificha kwenye mahandaki ni moja ya mbinu za kijeshi, hta tulipopigana na uganga wanajeshi walichimba mahandaki
 
Mkuu.
Wale ni waislamu na waarabu wahamiaji na waarabu raia wa uingereza kwa asilimia 97% na iliyobaki ndio jamii nyingine.
Na jana walifanya vurugu pia hao waarabu mpaka wamekamatwa waarabu 126 walitaka kupigana na polisi jana.
Waafrika wachache sana waliandamana london kuwaunga mkono waarabu
NB : SASA UNALINGANISHA NA HAWA WAKRSTO NA WAZUNGU WA PARIS 97% WALIOANDAMANA KWA WINGI AU UNA IDADI KAMILI YA WATU.
NB: ISSUE YA WAZIRI EBU FAFANUA VIZURI MAALIM
Siku ingine usije kurudia kuniandikia uharo hizo asilimia zako waleleze mapunguani wenzako mimi nimeona maandaamo haya siyo ya kwanza hapo UK, waliokamatwa ni wazungu wafuasi wa Tommy Robinson, ambao walikuwa wampiga Suella Braverman,
While fellow ministers made no secret of their desire for police to step in to prevent a pro-Palestine demonstration in London on Armistice Day, her branding of them all as 'hate marchers' was criticised from within Tory ranks even before she questioned the police's motives.

Hawa Waislam?
 
Attachments

  • twidown.mp4
    2.5 MB
Propaganda za kuhalalisha mauaji ya watoto, kujificha kwenye mahandaki ni moja ya mbinu za kijeshi, hta tulipopigana na uganga wanajeshi walichimba mahandaki
BAS UKIJIFICHA KWENYE HANDAKI CHINI YA HOSPITAL TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA KWENYE AMBULANCE TUNAPIGA HUMO.UKIJIFICHA MSIKITINI TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA KANISANI TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA NYUMA YA RAIA TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA NYUMA YA WATOTO NA WANAWAKE TUNAPIGA HUMO.
NB: UMEWASIKIA HAO WAFUASI WA HAMAS WANACHOSEMA KWENYE HIYO CLIP MKUU
 
Mkuu hizi picha ni za propaganda za wapiga picha wa hamas ili waonewe huruma na dunia
View attachment 2812733
.
Kwanza wamevua mavazi ya kijeshi afu wanaenda kujificha ndani ya raia, i mean wanawake na watoto na wazee.,,hii technical ya kitoto kweli.
Au kujificha hospitalini
Propoganda za kishoga kabisa hizo mashoga ndiyo watakuamini.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    222.2 KB
Siku ingine usije kurudia kuniandikia uharo hizo asilimia zako waleleze mapunguani wenzako mimi nimeona maandaamo haya siyo ya kwanza hapo UK, waliokamatwa ni wazungu wafuasi wa Tommy Robinson, ambao walikuwa wampiga Suella Braverman,
While fellow ministers made no secret of their desire for police to step in to prevent a pro-Palestine demonstration in London on Armistice Day, her branding of them all as 'hate marchers' was criticised from within Tory ranks even before she questioned the police's motives.

Hawa Waislam?
Mkuu mbona unapaniki na kutoa matusi??
Kaangalie BBC na usikilize hotuba ya Muhindi Rish Sunaki Waziri Mkuu wa Uingereza anawaambia nini hao vijana wa kiarabu waliotaka kufanya vurugu za kuwavamia polisi jana.
NB: Au hauna kingamuzi mkuu uangalie BBC uone london kulikuaje jana.
Wale vijana wa kiarabu na vurugu zao za kuomba cease fire
 
BAS UKIJIFICHA KWENYE HANDAKI CHINI YA HOSPITAL TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA KWENYE AMBULANCE TUNAPIGA HUMO.UKIJIFICHA MSIKITINI TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA KANISANI TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA NYUMA YA RAIA TUNAPIGA HUMO.
UKIJIFICHA NYUMA YA WATOTO NA WANAWAKE TUNAPIGA HUMO.
NB: UMEWASIKIA HAO WAFUASI WA HAMAS WANACHOSEMA KWENYE HIYO CLIP MKUU
Kitu usichofahamu Hamas ni shadow militant, unaweza kuwatafuta Gaza yote ukawakosa, ile ni itikadi, iko kwenye mioyo ya wapalestina, itikadi ya kutetea ardhi yao, na haitaisha milele mpaka Taifa la wapalestina litakapopatikana, Marekani walipambana na Taleban Afghanistan miaka zaidi ya 20 wakawashindwa, wakanyoosha mikono juu na kuwaachia nchi yao
 
Siku ingine usije kurudia kuniandikia uharo hizo asilimia zako waleleze mapunguani wenzako mimi nimeona maandaamo haya siyo ya kwanza hapo UK, waliokamatwa ni wazungu wafuasi wa Tommy Robinson, ambao walikuwa wampiga Suella Braverman,
While fellow ministers made no secret of their desire for police to step in to prevent a pro-Palestine demonstration in London on Armistice Day, her branding of them all as 'hate marchers' was criticised from within Tory ranks even before she questioned the police's motives.

Hawa Waislam?
Wanaondamana london na santiago na cape town na washngton DC na paris asilimia 97% ni waarabu waislamu wanaokaa huko.
 
Back
Top Bottom