Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Hakuna shadow.Kitu usichofahamu Hamas ni shadow militant, unaweza kuwatafuta Gaza yote ukawakosa, ile ni itikadi, iko kwenye mioyo ya wapalestina, itikadi ya kutetea ardhi yao, na haitaisha milele mpaka Taifa la wapalestina litakapopatikana, Marekani walipambana na Taleban Afghanistan miaka zaidi ya 20 wakawashindwa, wakanyoosha mikono juu na kuwaachia nchi yao
Kichapo kimekolea wacha kuwafariji ujinga.
Raia wa gaza hawana hamu na wanajuta kuwakubali Hamas kama viongozi wao
NB: AKILI ZA WAARABU NI KWAMBA WAYAHUDI HAWANA HAKI YA KUISHI KWENYE ARIDHI YA BABU ZAO NA HAWAJUI WAYAHUDI WAPO PALE MILELE NA MUNGU WAO YEHOVA.
AKILI ZA WAARABU WAISLAMU SOMA
QUR'AN 9:30
QUR'AN 22:19