Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Shauri yao wenyewe
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaddafi angeishi milele??dikteta huwa na mwisho mbaya na huacha maumivu makubwa..ndio kama hii ya Libya.Let them go to hell,walitumika na mababeru kumuondoa Ghadaffi leo wako wapi? Tujifunze sisi ngozi nyeusi Mzungu hana huruma na sisi zaidi ya matakwa yake na lengo lake,vikishatimia hawezi kuangalia nyuma,tujifunze hata huyo mama yenu anayewatukuza ajue kwamba hana future na ngozi nyeusi zaidi ya ukoloni mamboleo,atajikba kuwatembelea mwisho wa siku tutaumia.
Hunaga hoja bali vioja.Utakua unawashwa na fangasi kwenye korodani
Acha upoyoyo mkuu the man was a hero to his people, sasa hayupo kuna faida uyt libyaYote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.
Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.
Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.
#MaendeleoHayanaChama
Pronato mko wapi mliokuwa mnaiona NATO ni watakatifu
Ila wazungu wana mambo sana. Kujifanya kuikomboa Libya kumbe wana yao. Angalia walivyoisambaratisha Libya! Haitamaniki. Iko vipande pande. Haieleweki hata inakwenda wapi! Iraq na Afghanistan hivyo hivyo! Israel kule inaua Wapelestina kama kuku wala hawatoi neno!
Leo Urusi kavamia Ukraine eti wanajifanya wakarimu kupokea wakimbizi, kupeleka silaha na kulaani ile mbaya!
Kichwa umiza sana hawa watawala dunia [emoji3062][emoji35][emoji2959]
Binaadamu haeleweki Anataka Nini
Let them go to hell,walitumika na mababeru kumuondoa Ghadaffi leo wako wapi? Tujifunze sisi ngozi nyeusi Mzungu hana huruma na sisi zaidi ya matakwa yake na lengo lake,vikishatimia hawezi kuangalia nyuma,tujifunze hata huyo mama yenu anayewatukuza ajue kwamba hana future na ngozi nyeusi zaidi ya ukoloni mamboleo,atajikba kuwatembelea mwisho wa siku tutaumia.
"Katika makosa ambayo serikali yangu iliyafanya ni kuondoa utawala wa Gadafi, najisikia radhi kwa hilo.....," beberu Obama Barack 2018Thibitisha walitumika na mabeberu, onyesha ni lini mabeberu waliwaambia waandamane kumkataa dikteta wao.
Kwani Africa inahitaji upinzani?Lazima wamkumbuke jinsi alivyoharibu taasisi zote ambazo zingempa upinzani, kaacha vurumai na ombwe kubwa yule mwanahizaya.
Ila we jamaa unapenda ubishi,tena ubishi wenyewe kama ule ule wa MESSI NA RONALDO, au ule wa LOWASA FISADI AU SIO FISADI.Thibitisha walitumika na mabeberu, onyesha ni lini mabeberu waliwaambia waandamane kumkataa dikteta wao.
Napata shida kuelewa uwezo wako wa kung'amua mambo especially international politicsYote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.
Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.
Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.
#MaendeleoHayanaChama
Yaani hujui kwambanchi za nato zilihusika kumtoa Ghadaf na nchi kipindi cha uongozi wake ilikuwa na amaniNATO inahusukaje hapo ??
Gaddafi katolewa madarakani na NATO na USA,alitaka kuanzisha benki itayokopesha afrika bila riba,huu ndiyo mrija wa wazungu kunyonya na kutawala afrika,alitaka kuanza na francofone kutopeleka gold reserve France,ndiyo maana France alikua mbele zaidi na hata majasusi waliomkamata na kumuua ni wa France,alitaka afrika iwe na satellite yake ya mawasiliano,mb zisingekua ghali hivi...ulishaona wapi waandamanaji Wana silaha za Vita!?Hunaga hoja bali vioja.
#MaendeleoHayanaChama
Hehehe heheh daaah... nchi ngumu hii.Huyo ghadafi ( LANA TULLAH) ndiye aliyesababisha hayo yanayotokea leo
Alikuwa ni kiongozi wa hovyo na wa ajabu kuwahi kutokea duniani, badala ya kuandaa vijana wa kujiyegemea anawalea kama mazuzu hadi anayalipia mahari?
Alisababisha instability katika nchi nyingi za kiafrika kwa kuandaa na kufadhili makundi mengi yanayosumbua Afrika leo
Ndiye huyu huyo sliyetuma majeshi yake kuja kuua damu zisizo na hatia za Watanzania akimsapoti Idd amini nduli ambaye slikuwa anamuanda kuzivamia nchi zote za afrika mashariki ili amfanye amiri wa eneo hili kupitia sera yake ya Afrika moja dini moja
Kwani uongo ?Safi Sana demokrasia ya Wamarekani inafanya Kazi hapo, acha vijana wale hayo maandano na matairi waliyoyachoma road.
Si mlisema Ghadafi ni dikteta.
Kichwa kinapotumika Kama mfuniko wa shingo.Kwani uongo ?
yote yanayoendelea ktk taifa la libya aliyasababisha mmarekani na washirike wake. laana ishuke juu yao.View attachment 2280905
Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha.
Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na barabara kufungwa huku maafisa wa usalama wakitazama bila kuingilia kati.
View attachment 2280907
Maandamano yameendelea kusambaa katika Mji wa Beni Walid na Mistara, ambapo kundi la vijana linalojiita BELTRESS limesema litaendeleza maandamano Tripoli.
Kundi hilo linaitisha uchaguzi pamoja na kuvunjwa kwa serikali mbili hasimu pamoja na mabunge tofauti yalioko. Hasira miongoni mwa wakazi zimechochewa na ukosefu wa umeme kwa hadi saa 18 kwa siku, wakati huu wa msimu wa joto, licha ya taifa hilo kuwa lenye utajiri mkubwa zaidi wa mafuta barani Afrika.
Taifa hilo limekumbwa na misukasuko ya kisiasa tangu mwaka wa 2011, baada ya muungano wa NATO kumuondoa madarakani na kumuua kiongozi wa muda mrefu Moamer Kadhafi.
Source: France24
=================
Libya protests planned over power cuts, political deadlock
Libyans angered by rising prices, chronic power cuts and political deadlock planned further demonstrations Monday after a night of angry protests across the capital.
Masked youths set alight car tyres and blocked roads including a major coastal highway between central Tripoli and its western suburbs, but security forces did not intervene.
Videos carried by local media also showed demonstrations in Beni Walid and the port city of Misrata.
A youth movement calling itself "Beltress" said further protests were planned in Tripoli's Martyr's Square at 4:00 PM local time (1400 GMT).
The movement demands elections and the dissolution of both the country's rival governments and their two houses of parliament.
Public anger has been fuelled by power cuts that often last 18 hours amid soaring summer temperatures, despite Libya sitting on Africa's largest oil reserves.
The vast country has been mired in political unrest and armed violence since a 2011 NATO-backed uprising toppled and killed dictator Moamer Kadhafi.