Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

Yote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.

Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu unayasema haya ukiwa na nia ya dhati au unawakejeli?
 
Yote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.

Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
si ndo wamepewa uhuru sasa tokea mwaka 2011. Hawautaki tena uhuru mara hii?
 
watu wamelishwa propaganda na west kuwa gadafi dictactor mara hoo amekaa muda mrefu madarakani nenda german angalia cancel angel markel amekaa muda gani madarakani
 
Dunia inaelekea kusikojulikana mi nawashangaa mnaohusianisha hii mada na masuala ya sijui Gaddafi na upuuzi gani ,huyo Gadaffi angekuwepo ndio angezuia inflation na financial collapse iliyopo au ? hii ni global phenomenon ni global financial collapse ,uchumi WA dunia uko integrated Kwa sasa ,kukiwa na tatizo sehemu moja ujue hata wewe na nchi yako utaathirika Tu naomba mfuatilie kwenye mitandao huko YouTube ,Google NK na mjue kinachoendelea kwenye hizi nchi then mje na uharo wenu WA sijui mabeberu na upumbavu mwingine mnaojua : Ghana ,Ecuador ,Zimbabwe ,Cuba , Venezuela,Lebanon , Sudan ,Srilanka ,Brasil , Argentina , Pakistan ,Libya ,Honduras ,Haiti , Afghanistan , Turkey na nyingine nyingi wananchi wamevurugwa wameamua kukinukisha ,Hali ni mbaya mno ,uchumi kuteteleka +inflation and soaring poverty .

Hao mnaowaita mabeberu wenyewe uchumi kwenye nchi zao umeshake Kwa kiasi kikubwa na kuna inflation na scarcity ya bidhaa

Hii inflation mnayoiexperience sasa hivi ni tone katika bahari ,mtaanza kuonja joto ya jiwe muda si mrefu
Tuchukue tahadhari
 
Back
Top Bottom