Dunia inaelekea kusikojulikana mi nawashangaa mnaohusianisha hii mada na masuala ya sijui Gaddafi na upuuzi gani ,huyo Gadaffi angekuwepo ndio angezuia inflation na financial collapse iliyopo au ? hii ni global phenomenon ni global financial collapse ,uchumi WA dunia uko integrated Kwa sasa ,kukiwa na tatizo sehemu moja ujue hata wewe na nchi yako utaathirika Tu naomba mfuatilie kwenye mitandao huko YouTube ,Google NK na mjue kinachoendelea kwenye hizi nchi then mje na uharo wenu WA sijui mabeberu na upumbavu mwingine mnaojua : Ghana ,Ecuador ,Zimbabwe ,Cuba , Venezuela,Lebanon , Sudan ,Srilanka ,Brasil , Argentina , Pakistan ,Libya ,Honduras ,Haiti , Afghanistan , Turkey na nyingine nyingi wananchi wamevurugwa wameamua kukinukisha ,Hali ni mbaya mno ,uchumi kuteteleka +inflation and soaring poverty .
Hao mnaowaita mabeberu wenyewe uchumi kwenye nchi zao umeshake Kwa kiasi kikubwa na kuna inflation na scarcity ya bidhaa
Hii inflation mnayoiexperience sasa hivi ni tone katika bahari ,mtaanza kuonja joto ya jiwe muda si mrefu
Tuchukue tahadhari