Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nimeona polisi wakikamata watu kwa kosa la kuhamasisha maandamano. Nimeona Waziri wa Mapolisi wakikemea maandamano.
Watu hawa waieleze dunia maandamano ni kosa kwa sheria ipi? Halafu acheni kupotosha watu kwamba ni vurugu, hapana kinachopangwa kufanyika ni maandamano. Hizo vurugu mnazitoa wapi?
Waziri unatakiwa kuleta polisi kuwalinda waandamanaji na si vinginevyo