Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga
Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na wakristo. Hakuna dalili yoyote kwenye dini hizi mbili inayoruhusu watu kufanya the so called maandamano kwa ajili ya kudai haki
Weka mihemko pembeni jikite kwenye ukweli na uhalisia, hivi ni haki gani unayoipigania?
Je, njia unayotumia kupigania hiyo haki ni sahihi?
Umeshapima madhara na faida za hicho unachokusudia kukifanya?