Maandamano ni haramu katika dini. Mkifa kwa ajili ya kuandamana nakuhakikishieni mnakwenda motoni

Tupo sie ambao hatuamini dini yoyote, hili bango halituhusu
Nyinyi dini yenu ni mwenendo huo mliochagua kuenda nao
Nakunasihini nanyi msihamasishane kuandamana kwa ajili ya uasi
 
Dini! dini! dini! diniii na umbulula ni watoto wa baba mmoja, dini hizi za majahazi zilizotumiwa na wakoloni wa kigeni na wakoloni weusi wa kisasa kuiba rasilimali za makenge ndio za kuleta kwenye mijadala dunia ya leo?

Dunia yenye kila aina ya information kwenye fingertips unaleta mambo ya kukaririshwa hapa? Pathetic
Hatupo kwenye mjadala kati ya waumini na adheists tafadhali... wenye dini zao wananielewa nilichoandika
 
Busu la Kenge kwani imaam hakuandamana juu ya farasi na punda kuuhusudu, kuulinda, kuueneza, na kuutawanya uislamu? Msaidie huyu kenge wa miaka ya leo ilmu mkuu
 
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga

Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na wakristo. Hakuna dalili yoyote kwenye dini hizi mbili inayoruhusu watu kufanya the so called maandamano kwa ajili ya kudai haki

Weka mihemko pembeni jikite kwenye ukweli na uhalisia, hivi ni haki gani unayoipigania?

Je, njia unayotumia kupigania hiyo haki ni sahihi?

Umeshapima madhara na faida za hicho unachokusudia kukifanya?
Mbona zipo tena inafanana na kisa cha kiongozi mwanamke ...kasome kisa cha mwanamke mshenzi aliye tawala Israel na kuondoshwa kwa maandamano
 
Ila kuteka na kuuwa watu ni sawa,una enda peponi ukishaua? Ila waislam nyie kuuwa ni thawabunkwenu
Siyo sawa wala siyo sahihi

Labda tu nikwambie sipo hapa kisiasa
 
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga

Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na wakristo. Hakuna dalili yoyote kwenye dini hizi mbili inayoruhusu watu kufanya the so called maandamano kwa ajili ya kudai haki

Weka mihemko pembeni jikite kwenye ukweli na uhalisia, hivi ni haki gani unayoipigania?

Je, njia unayotumia kupigania hiyo haki ni sahihi?

Umeshapima madhara na faida za hicho unachokusudia kukifanya?
Hata mwanamke kuwakiongozi ni haramu kabisa
 
Labda tu niwaambie sipo hapa kisiasa wala kishabiki

Najua kabisa hakuna maandamano yatakayofanyika hizi ni kelele tu ambazo zitapita baada ya muda lakini ninachojaribu ni kuwaelewesha waumini tu kwamba mfano mkiandamana kisha mkaleta fujo kwa namna yoyote ile ikasababisha mfe basi msijihesabu kuwa eti mtakuwa mmefia haki bali mtakuwa mmefia uasi.

MUUWAJI NA MUULIWA WOTE MTAKUWA MMEPATA DHAMBI lakini tofauti ndogo ni kwamba muuwaji atakuwa hai hivyo ana nafasi kubwa ya kutubu na kujirekebisha lakini muuliwa atakuwa amekula hasara mara mbili

Kataa maandamano kataa uasi
 
Na atakayemua anayeandamana anaenda peponi au vipi?
 
N kuhusu mwanamke kuongozi inase.aje hiyo dini?
 
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga

Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na wakristo. Hakuna dalili yoyote kwenye dini hizi mbili inayoruhusu watu kufanya the so called maandamano kwa ajili ya kudai haki

Weka mihemko pembeni jikite kwenye ukweli na uhalisia, hivi ni haki gani unayoipigania?

Je, njia unayotumia kupigania hiyo haki ni sahihi?

Umeshapima madhara na faida za hicho unachokusudia kukifanya?
IMG_195906_4424_113819.jpeg
 
Acha kutisha watu kwa habari za dini na moto, huo moto unaujua wewe. Watu wanafanya hivyo kushinikiza wapate haki zao wanazoona zinakandamizwa. Unaandika vitisho kwa kuwa upo upande unakonufaika, hiyo dini yako unayoibudu imekupumbaza kwa moto huo
 
Mtume aliambiwa tumekutuma uwe MUBASHIRA na NADHIRA
Ukitafsiri kwa Kiswahili bashira yaani afanye kazi ya kubashiria watu wanaofanya mema kwamba wema wao utawafaa wataingia peponi. Halafu nadhira yaani awe muonyaji kwa wanaofanya uovu kuwa uovu wao utawadhuru wataingia motoni

Kuonya kunaambatana na vitisho hujakosea lakini hapo kwenye upande wa kunufaika sijaelewa hebu nifafanulie tafadhali
 
Back
Top Bottom