Maandamano ni haramu katika dini. Mkifa kwa ajili ya kuandamana nakuhakikishieni mnakwenda motoni

Maandamano ni haramu katika dini. Mkifa kwa ajili ya kuandamana nakuhakikishieni mnakwenda motoni

Nashukuru kwa nasaha zako kaka lakini nijuavyo maandamano yanayokusudiwa ni ya uasi na uasi ni haramu, au unataka dalili bado niendelee zaidi?
Kama ni maandamano yenye kusudi la uhasi bila shaka ni Haram Na hayafai kufanywa.
Lakini je una uhakika maandamano wanayotaka kufanya ni uhasi au unawasingiza?.
 
Labda tu niwaambie sipo hapa kisiasa wala kishabiki

Najua kabisa hakuna maandamano yatakayofanyika hizi ni kelele tu ambazo zitapita baada ya muda lakini ninachojaribu ni kuwaelewesha waumini tu kwamba mfano mkiandamana kisha mkaleta fujo kwa namna yoyote ile ikasababisha mfe basi msijihesabu kuwa eti mtakuwa mmefia haki bali mtakuwa mmefia uasi.

MUUWAJI NA MUULIWA WOTE MTAKUWA MMEPATA DHAMBI lakini tofauti ndogo ni kwamba muuwaji atakuwa hai hivyo ana nafasi kubwa ya kutubu na kujirekebisha lakini muuliwa atakuwa amekula hasara mara mbili

Kataa maandamano kataa uasi
Acha uzia watu uoga wewe kataa ulofaa kiongozi
 
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga

Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na wakristo. Hakuna dalili yoyote kwenye dini hizi mbili inayoruhusu watu kufanya the so called maandamano kwa ajili ya kudai haki

Weka mihemko pembeni jikite kwenye ukweli na uhalisia, hivi ni haki gani unayoipigania?

Je, njia unayotumia kupigania hiyo haki ni sahihi?

Umeshapima madhara na faida za hicho unachokusudia kukifanya?
Dini ya Kiislam haitaki kudhulumiwa, inakutaka upambane physically ikiwa unaweza ili usidhulumiwe
 
Kwa sasa tuko na tunaishi motoni. Ya nini sasa kuogopa kwenda motoni?

Msalimie shemeji Chivayo
 
Back
Top Bottom