Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele
Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile
Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣