Maandamano sio ya CHADEMA ni ya wananchi. Tusimsubiri Mbowe wala Tundu Lissu

Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?

Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele

Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile

Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣
Upo wapi tukufwate kukusupport ..?
 
Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 2
Mpaka saivi Maandamo yamedoda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hila CHADEMA waoga sana
 
Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?

Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele

Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile

Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣
Hakuna Mwananchi mjinga hapa Tanzania wa kuandamana sababu ya Mbowe na Lisu 😂😂

View: https://www.instagram.com/p/DAQBOXeq3MX/?igsh=MWJsenUxdHhnMXFqNg==
 
Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?

Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele

Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile

Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣
Tangulia kuandamana tukuone, au unaandamana kutokea katika keyboard ya simu?
 
Back
Top Bottom