Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Well said Mpwayungu VillageVichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele
Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile
Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣
Haya maandamano yanalenga nini kwana embu wekeni hapa iyo hotuba ya mbowe tuisome tuielewe
Rais alilipokea hili kwa uchungu mkubwa sana, akaagiza mamlaka kumpa taarifa za kina, ndicho kinachoendelea, tusubiri majawabu kwa mamlaka iliyopewa kazi hiyo, tusiporidhika tuhoji, tupeleke mahakamani, za ndani ama nje, hizi ndizo taratibu. They can't and never bully citizen for that cases! Maandamano!, Robert huriel hongera kwa tunzo!
Hahaa 😂Tukutane barabarani
Route zimetanganzwa mkuu ,fuatisha route Mbowe na Lissu tutakutana nao barabarani ,hao watu wanawindwa 24/7.Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele
Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile
Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣
Kama umekula vya watu na hutakikutoa mzigo watakuteka tu.1. Watu kutekwa na kupotea kusikojulikana
2. Kuuawa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Ndio hoja zao
Alisikika mlevi mmoja.Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge mbele
Siku zote mapinduzi yanafanywa na watu wa kawaida sana yamkini wasiwe wanasiasa wala na vyeo vyovyote vile
Mbowe alisema hata nikikamatwa nyie songeni mbele, Ajabu Akina John pambalu, mdude na twaha mwaipaya wapo mitandaoni mpaka mda huu kuripoti habar za lissu na mbowe ilihali hiyo ni kazi ya jamiiforum na mwananchi digital, Hawataki kutoka ndani waje tuungane 🤣🤣🤣🤣
Kama umekula vya watu na hutakikutoa mzigo watakuteka tu.
Kwani serikali ni nini?Serikali jukumu lake unalijua lakini?
Kwani serikali ni nini?
Ndo sitaki maandamano na ole wake atie pua nakula mbumbumbu yakeSerikali ni wewe