Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo wa bomba kwa kigezo cha uharibufu wa mazingira.
RT ni television ya Urusi ! Urusi ndo anategemewa ulaya kuzalisha na kusambaza mafuta! Ujenzi wa Bomba la mafuta ni pigo kwa Urusi maana dominance yake kwenye suala la Mafuta itashuka sana!
No wonder anaipa airtime sana iyo habari!
Kiuchumi Bomba la mafuta ni breakthrough kwa Uganda na Tz kiuchumi. Ila ni a big blow kwa Urusi.
Ndo mana mkiambiwa msimtetee Urusi kwa ujinga anaofanya Ukraine muwe mnaelewa. Mrusi ni mnyama sana. Rt ni chombo cha habari kutoka Urusi.. hiyo taarifa imechukuliaa kutoka ufaransa .. umeona maandamano yamefanyikia urusi hapo??. Alieshikikia bango umewaona ni warusi?..
Hao bado Putin hajawanyoosha vizuri, wameshaona kwamba mafuta yataleta utajiri pande hizi si muda mrefu,Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo wa bomba kwa kigezo cha uharibufu wa mazingira.
Nchi ngumu sana hii!
Hao RT wanatutafuta nini?
[/QUOTE
Vyombo vya habari vinafuata matukio(events).
Gesi haina uchafuzi wa mazingira kama mafuta"Zakuambiwa, changanya na zako".Mbona hawakuandamana wakati Mrusi anajenga bomba la gas kitoka Russia mpaka Europe? Hawa watu ni kichefuchefu. Bwawa la umeme la Magufuli wanamazigira wa Ulaya walilikataa vilevile. Leo hii ukisema tujenge vinu vya nuclear kwaajili ya kuzalisha umeme hawatakubali. Mazingira ni kichaka tu, lengo kuu nikuona Africa inabakia gizani na haijikomboi.
Kazi ya Tundu Lissu hiyoKampuni moja shindani imeandaa hizo propaganda
Bro si ni sawa na yale ya kuzuia barabara ipite Serengeti? Michezo michafu. Usiposhtukia wewe utajifanya unatunza mazingira, huku wao wanawekeza. Kwanini China mikataba mingi ya mazingira hakuridhia. Kucheleweshana.
A ha propaganda. Huo waandishi wa habari kama walivyi wanahabari wengine. Unadhani Uganda ina mafuta mengi kiasi gaini kuizidi Urusi au Nigeria pamoja na nchi nyingine za kiarabu. RT imeripoti tu hao wanafki wanaotaka kutufanya tuendelee kuwa gizani. No more. Na sometimes wanataka terms and conditions za mikataba ziendelee kudidimizwa wakiambiawa unaona watu wanapinga huko, mradi unaweza kukwama.RT ni television ya Urusi ! Urusi ndo anategemewa ulaya kuzalisha na kusambaza mafuta! Ujenzi wa Bomba la mafuta ni pigo kwa Urusi maana dominance yake kwenye suala la Mafuta itashuka sana!
No wonder anaipa airtime sana iyo habari!
Kiuchumi Bomba la mafuta ni breakthrough kwa Uganda na Tz kiuchumi. Ila ni a big blow kwa Urusi.
Ndo mana mkiambiwa msimtetee Urusi kwa ujinga anaofanya Ukraine muwe mnaelewa. Mrusi ni mnyama sana
Typically Bongo mindset! Kufikiria nje ya box ni haraka kama muislam kula kibudu! Take your time, tafakari kabla ya kuandika! Anayeharibu mazingira hata akiwa ule North pole, aliye South pole ataathirika! Halafu unaonyesha ubinafsi tulio nao watanzania wengi. Kitu mpaka kiwe kinakuathiri wewe ndiyo uwe na concern! Anyways, haya maandamano ya wanaharakati za mazingira Ulaya yapo kila kona na kila siku. Kwa mfano kuna wanaotaka magari yanayotumia mafuta yapigwe marufuku kabisa baada ya miaka 10 ijayo. Huwa wanafunga barabara na kufanya kila aina ya ghasia. Hata hivyo bomba litajengwa na haya maandamano hayatazuia.Duuh makubwa haya,kwamba wanauchungu sana na Tanzania au Nini? Hii EACOP itaathiri vipi Mazingira? Na je athari hiyo itaigusa France?
Bado ni Fossil fuel, end of the day ina mchango wake katika kuongeza Co2 na methane kwenye atmosphere.