Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Wamejaa unafiki sana"Zakuambiwa, changanya na zako". Mbona hawakuandamana wakati Mrusi anajenga bomba la gas kutoka Russia mpaka Europe? Hawa watu ni kichefuchefu. Bwawa la umeme la Magufuli wanamazigira wa Ulaya walilikataa vilevile. Leo hii ukisema tujenge vinu vya nuclear kwaajili ya kuzalisha umeme hawatakubali. Mazingira ni kichaka tu, lengo kuu nikuona Afrika inabakia gizani na haijikomboi.