Wamejaa unafiki sana"Zakuambiwa, changanya na zako". Mbona hawakuandamana wakati Mrusi anajenga bomba la gas kutoka Russia mpaka Europe? Hawa watu ni kichefuchefu. Bwawa la umeme la Magufuli wanamazigira wa Ulaya walilikataa vilevile. Leo hii ukisema tujenge vinu vya nuclear kwaajili ya kuzalisha umeme hawatakubali. Mazingira ni kichaka tu, lengo kuu nikuona Afrika inabakia gizani na haijikomboi.
Wamehongwa wajinga hao. Waangalie kwanza hali ya mazingira huko ulaya ili wadimamishe ujenzi wa mabomba huko kwanza. Shwain wakubwa.Nchi ngumu sana hii!
Hao RT wanatutafuta nini?
Hiki ndicho nilikuwa natafuta. Sasa tumempata muyUkraine wetu, Uganda muBelarusi wetu funga vizuri gidamu mambo yameanza.I became involved with the Stop EACOP campaign when I met Omar Elmawi, one of its coordinators, through my work with Stop Cambo at COP26. He had come all the way from Kenya to spread the word about what was happening in East Africa and to demand climate justice.
inaonekana Kama Kenya anahusika katika hujuma hii.Wanafunzi wa Ulaya wengi ni mashoga. Nyege zikiwazidi huwa wanapenda kufanya vituko ikiwemo kuandamana au kuvaa tshirt za manjano na vingine vya kijinga jinga. Hawapo serious hao. Ni wapuuzi tu
Mkuu hakuna shida yeyote itakayo mwagwa,kwani hujui kuwa tuna bombs la mafuta kwenda Zambia linaitwa TAZAMA?angalia wananchi wa pembezoni linapopitia hilo bomba Ni masikini wa kutupwa.Kumbe sisi bado hatujajua umuhimu wa kutunza mazingira yetu badala yake mabeberu ndio wanaujua umuhimu.
Au ni wivu kwa sisi kuja kunufaika na ajira zitakazomwagwa kwenye huo ujenzi...
Mkenya jirani yetu katoka hapa Kenya Ubvuni kwetu kwenda kutusiliba Ufaransa ili tukose huu Mradi! Hawa majirani zetu ni Nyang'au kabisa.RT ni television ya Urusi! Urusi ndio anategemewa Ulaya kuzalisha na kusambaza mafuta! Ujenzi wa Bomba la mafuta ni pigo kwa Urusi maana dominance yake kwenye suala la Mafuta itashuka sana!
No wonder anaipa airtime sana hiyo habari!
Kiuchumi Bomba la mafuta ni breakthrough kwa Uganda na Tanzania kiuchumi. Ila ni a big blow kwa Urusi.
Ndo maana mkiambiwa msimtetee Urusi kwa ujinga anaofanya Ukraine muwe mnaelewa. Mrusi ni mnyama sana
Soma uelewe ndugu au kama huelewi omba msaada, tabia yako ya kukurupuka bila kuelewa kitu sijui utaacha lini!Duuh makubwa haya, kwamba wana uchungu sana na Tanzania au Nini? Hii EACOP itaathiri vipi Mazingira? Na je athari hiyo itaigusa France?
Tulisema tunafungulia nchi....nadhani tumeingiza na balaa katika kufungulia huku. Hii EAC itavunjika tena kama Kenya haitadhibitiwa kwa hila zao hizi.Mkenya jirani yetu katoka hapa Kenya Ubvuni kwetu kwenda kutusiliba Ufaransa ili tukose huu Mradi! Hawa majirani zetu ni Nyang'au kabisa.
"I became involved with the Stop EACOP campaign when I met Omar Elmawi, one of its coordinators, through my work with Stop Cambo at COP26. He had come all the way from Kenya to spread the word about what was happening in East Africa and to demand climate justice."
Huelewi!Kwani sub contractor ni nani?
Na wewe mkuu unashabikia hao waandamanaji? Hawa watu ni wapumbavu, mazingira ni kichaka cha kuifichia mradi huu lazima ujengwe na ukamilike 2025 full stop! Hakuna kurudi nyuma!Sisi wenyewe tumelala!
Ndiko tunakoelekea mkuu! Wakenya wajinga sana walipiga kelele sana kuzuia ujenzi wa barabara ya Musoma - Mto wa Mbu! Tunashukuru kwa ukichwani maji wa Magufuli barabara ipo inaendelea kujengwa!Tulisema tunafungulia nchi....nadhani tumeingiza na balaa katika kufungulia huku. Hii EAC itavunjika tena kama Kenya haitadhibitiwa kwa hila zao hizi.
Hizo fitina za biashara wewe, mamluki hao wame kusanywa wapinge dili hilo...Kumbe sisi bado hatujajua umuhimu wa kutunza mazingira yetu badala yake mabeberu ndio wanaujua umuhimu.
Au ni wivu kwa sisi kuja kunufaika na ajira zitakazomwagwa kwenye huo ujenzi...
Nakubaliana na wewe mkuu! Hapa Kenya lazima uwakute ndani!Hizo fitina za biashara wewe, mamluki hao wame kusanywa wapinge dili hilo...
Kuna nchi zipo nyuma ya hayo maandamano.
hauna akili sawasawa, inamaana hizo EACOP huzioniMbona maandamano hayausiani na mambo ya Bomba hilo! Acheni uzushi hao wanaandamana kuhusu vita ya Russia na Ukraine.