Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

Ulipoharibu ni Aya ya mwisho
 
Kumbe sisi bado hatujajua umuhimu wa kutunza mazingira yetu badala yake mabeberu ndio wanaujua umuhimu.

Au ni wivu kwa sisi kuja kunufaika na ajira zitakazomwagwa kwenye huo ujenzi...
Watu wa nyayo Hawa waanaona wivu
 
Wote wnaoendesha huu mradi wanahitaji masikio ya kimagufuli.

Hakuna cha kumsikiliza yeyote baada ya maamuzi ya kuujenga mradi.
 
Hawa watoto manina kabisa, tena ungese wao wabaki nao hukohuko
 
Duuh makubwa haya, kwamba wana uchungu sana na Tanzania au Nini? Hii EACOP itaathiri vipi Mazingira? Na je athari hiyo itaigusa France?
Chochote kitakacho tokea kutokana na mradi huo UG na TZ ndio waathirika zaidi
 
Ebu ninyi acheni ujinga, angalia huyo dada wa Kikenya kajaa wivu hadi kwenye mashavu. Tutajenga bomba na hatutasimama hata dakika moja.
 
Nchi za magharibi zimeendelea kwa kutumia mafuta na makaa ya mawe, leo "wameamka" wanataka sisi tunaotaka kufanya maendeleo kwa kutumia mafuta, gesi na makaa ya mawe kutofanya hivyo ili kuokoa dunia!
 
Vita ya kiuchumi..wao ulaya wametandaza mabomba ya gesi na mafuta.. mbona hawaoni ni uharibifu wa mazingira.. Afrika tunaonewa sana na mabeberu.


#MaendeleoHayanaChama
 
Hao wanatumika, ukute makampuni ya kiarabu yanapiga zengwe, sawa na chuma ya mchuchuma lijamaa linamiliki majichimbo na haliendelezi, kisa linaendesha machimbo mengine, yaani sawa timu ikija juu unaishusha kwa kununua wachezaji wake muhimu, inasambaratika kama Simba SC.
 
Kwa nini hii itokee kipindi hiki samaki na viumbe wengine wa majini wanakufa huko Mara kwa kinachoitwa uchafuzi wa mazingira. Kina nani wameshikia bango kupigia kelele uchafuzi huo? Mzungu hajawa rafiki wa ngozi nyeusi/ Mwafrika kamwe. Wazungu na vibaraka wao watasumbua sana tu.
 
Huyu Omar Elmawi ambaye ndiye muasisi wa kupinga EACOP kwenye COP 26 ni Mkenya? Maana mwandishi anasema ndiye aliyempa habari
 
Huyu Omar Elmawi ambaye ndiye muasisi wa kupinga EACOP kwenye COP 26 ni Mkenya? Maana mwandishi anasema ndiye aliyempa habari
Ni mkenya ndio, na ndiye muasisi wa hiyo movement.

Oia wapo Diana Nabiruma na Bill Mackibenn wanaosimamia huo mchongo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ