Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

Mkuu hapo ndio umewaza nje ya box najiuliza usingewaza nje ya box ungewaza ugoro zaid ya huu au ukute ndio ungewaza sahihi zaid my take next time stay inside the box
 
Nionavyo mimi hapa pana vita kubwa ya kiuchumi. Huyo Mkenya kaamua kutusagia kunguni, sababu zinaeleweka. Ilikuwa sawa kwa bomba hilo kupitia kwao, lakini kwa vile M7 kabadilisha gia hewani basi propaganda zikaanza. Kwa upande wa RT ni wazi wanasambaza taarifa hizi kama propaganda dhidi ya Ufaransa ili wasiweze kuendelea na mradi huu. Msikubali kudanganywa na watu hawa ambao wana lao jambo.
 
Kupanga ni kuchagua kwa ufupi hao wanaharaka Wana hoja

1. Mkataba wa kinyonyaji UG na Tz @ 15%: Total Wafaransa, CINOC (Chinise).. 70%

UG wa deposit mafuta, Tz Sehemu kubwa njia bomba,

2. Sehemu kubwa fedha mradi ni mkopo mabenki. Investors briefcase Ila 70% Yao.

3. Msamaha Kodi VAT na mapato 10 years!! Ili Hali uhai wa mradi 20 years!!!

4. Fossil fuel uchomaji hutoa nitrogen oxides ambayo huleta smog na acid rain. vifo watu 1 Kati 5

5. Hakuna commitment endapo ikitokea bomba kutoboka oil spill , kwa Ardhi na vyanzo maji.ie Ziwa Victoria.

6. Wananchi wamepisha mradi kibabe ama kwa maslahi kiduchu Ardhi kilimo, ufugaji na makazi

Naona hoja kubwa ni uduni wetu kuingia mikataba, yaani wenye Mali tunapata kiduchu 30% huku wageni 70%

Challenge kwa mifumo yetu elimu na utawala. Mwekezaji anaogopwa na kuabudiwa! Sidhani twaweza kwenda China ama France kuwekeza maliasili zao kwa vigezo hivyo!
 
Huenda hayo maandamano ni sehemu ya propaganda za Urusi
 
Ofcourse muanzilishi ni wa hii kitu anatajwa kuwa ni Elmawi toka Kenya.

"Wazungu weusi" ktk east Africa yetu!!
Jambo la kusikitisha zaidi Rais wetu bado tu akaenda huko kusaini mikataba ya kuwauzia gesi.
 
QUOTE="Anne deo, post: 42076995, member: 48072"]
Duuh makubwa haya, kwamba wana uchungu sana na Tanzania au Nini? Hii EACOP itaathiri vipi Mazingira? Na je athari hiyo itaigusa France?
[/QUOTE]

Umeambiwa ni heated pipeline, yaani tofauti na ile ya TAZAMA. Hivyo itazalisha hewa ukaa/ CO2 Wengi tumezoea kuguswa na ukataji miti, uharibifu viumbe hai na utiririshaji mafuta.
 
Kiuchumi Bomba la mafuta ni breakthrough kwa Uganda na Tanzania kiuchumi. Ila ni a big blow kwa Urusi
Mkuu hakuna breakthrough yoyote, miradi ya kiafrika ya huku kwetu weusi hainamanufaa kwa uma, Nigeria, Angola, Niger etc wanamafuta lakini inatengeneza Individual Billionaires tu while nchi zinabaki masikini.
 
Nchi zote zenye udikteta miradi kama hii inae da kwenye mifuko binafsi. Hats hivyo hatuwezi acha kama inatoa ajira na ni rafiki wa mazingira
 
Huyu Omar ni mkenya? If so hatujui nn ss khs interest za Kenya kwenye huo mradi
 
Wangejua kazi imeanza tayari.Last week nikiwa Tanga nilifika mpaka Chongoleani usafishaji wa eneo umeanza tayari.
 
Kuchimba na kusafirisha mafuta sio utajiri! Utajiri ni kusafirisha mafuta refined. Nigeria ndo wanajenga refinery ya kwanza tena kupitia Aliko Dangote, Angola bado hawana refinery
 
Kwani Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Tanzania (NEMC) wanasemaje juu ya hili?!!
 
Ukisoma hiyo articles kuna jitu linaitwa Omar Elmawi tokea kenya

Hakika we know who is behind all this,a kenyan, who out of jealous went ahead to perpetuate all this
 
Hapo ñdio watanzania mtajua umuhimu wa Kuwa na MAPROPESA MANYELE wa tume ya vinyesi na Yule wa majalalani angebaki Ile wizara ya mambo ya nje angewashukia kama mwewe.
 
Huyu Omar Elmawi ambaye ndiye muasisi wa kupinga EACOP kwenye COP 26 ni Mkenya? Maana mwandishi anasema ndiye aliyempa habari
Nilijuwa mkenya tu

Ova
 
wanaharakati wa mitandaoni hao hawana effect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…