The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
"..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP)
Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia uchaguzi mkuu ujao hadi bei ya unga ipunguzwe!
View attachment 2284488
Si mkalime nani awalimie na kuwapa bure nyie huku mumelundikana mjini?