Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya Februari 20 yameleta faraja kubwa

CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwainua na kuwakwamua kiuchumi
Matumain hewa.hizo ngonjera mliwaimbia babu zetu miaka hiyo ya uhuru,hamna aibu mnaendelea nazo leo baada ya miaka 60.mna akili kweli nyie.pambaneni na umeme kwanza.hakuna mtu mwenye akili yimamu anayetaka kuishi kwa matumaini karne hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo Lukas, nilikiwepo na nilikuona jinsi ulivyokuwa unabubujikwa machozi ya furaha pale kamanda Lissu alipokuwa anaongea. Kwakweli ulishindwa kuzuia hisia zako na naamini mpaka sasa wewe na nyumba Yako yote mmehamia CHADEMA.
 
Siwezi nikahamia CHADEMA mimi hata kwa bahati mbaya. Mimi ni CCM mpaka mwisho.
 
Yan we jamaa bola usinge zaliwatu man nimzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…