Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya Februari 20 yameleta faraja kubwa

Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya Februari 20 yameleta faraja kubwa

CCM Ndio Tumaini la watanzania katika kuwainua na kuwakwamua kiuchumi
Matumain hewa.hizo ngonjera mliwaimbia babu zetu miaka hiyo ya uhuru,hamna aibu mnaendelea nazo leo baada ya miaka 60.mna akili kweli nyie.pambaneni na umeme kwanza.hakuna mtu mwenye akili yimamu anayetaka kuishi kwa matumaini karne hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Haiwezi ikatokea nikatupa vibuyu vya CCM ,Mimi na CCM mpaka mwisho wangu hapa Duniani.sitatoka wala kuhama wala kurudi nyuma wala kupoa wala kususa.

Nitaendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Mwenyekiti wangu Taifa na kumpa faraja na kumtia moyo kwa kazi nzito na kubwa anayoifanya ya kuwatumikia watanzania wanyonge.
Acha uongo Lukas, nilikiwepo na nilikuona jinsi ulivyokuwa unabubujikwa machozi ya furaha pale kamanda Lissu alipokuwa anaongea. Kwakweli ulishindwa kuzuia hisia zako na naamini mpaka sasa wewe na nyumba Yako yote mmehamia CHADEMA.
 
Acha uongo Lukas, nilikiwepo na nilikuona jinsi ulivyokuwa unabubujikwa machozi ya furaha pale kamanda Lissu alipokuwa anaongea. Kwakweli ulishindwa kuzuia hisia zako na naamini mpaka sasa wewe na nyumba Yako yote mmehamia CHADEMA.
Siwezi nikahamia CHADEMA mimi hata kwa bahati mbaya. Mimi ni CCM mpaka mwisho.
 
😀😀😀 haiwezi ikatokea hata kwa bahati mbaya mimi nikawa mwana CHADEMA ,chama kilichokosa nuru,Dira,sera na ajenda za kueleweka zaidi ya kupigania maslahi yao binafsi ya kuwaneemesha kama vile ambavyo kwa sasa chama linapigania uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.

Mimi nitaendelea kuiunga mkono CCM na serikali yake ya CCM chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa mzalendo wa kweli Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika,, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Mbeya ni salaama katika mikono salama ya Dkt Tulia Acksoni Mwansasu, Rais wa umoja wa mabunge Duniani ,dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.

Hakuna mwana Mbeya mwenye akili Timamu anayeweza kupoteza kura yake kuipa CHADEMA katika uchaguzi wa aina yoyote ile. kosa hilo haliwezi kurudiwa kamwe na wanambeya kuifanya Mbeya kuonekana kama ya wahuni wahuni tu.
Yan we jamaa bola usinge zaliwatu man nimzigo
 
Back
Top Bottom