😀😀😀 haiwezi ikatokea hata kwa bahati mbaya mimi nikawa mwana CHADEMA ,chama kilichokosa nuru,Dira,sera na ajenda za kueleweka zaidi ya kupigania maslahi yao binafsi ya kuwaneemesha kama vile ambavyo kwa sasa chama linapigania uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.
Mimi nitaendelea kuiunga mkono CCM na serikali yake ya CCM chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa mzalendo wa kweli Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika,, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Mbeya ni salaama katika mikono salama ya Dkt Tulia Acksoni Mwansasu, Rais wa umoja wa mabunge Duniani ,dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.
Hakuna mwana Mbeya mwenye akili Timamu anayeweza kupoteza kura yake kuipa CHADEMA katika uchaguzi wa aina yoyote ile. kosa hilo haliwezi kurudiwa kamwe na wanambeya kuifanya Mbeya kuonekana kama ya wahuni wahuni tu.