Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa .

Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu .

Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga.

 
Kama hayana madhara anayazungumzia nini.Aache watumie haki yao ya kikatiba. Tusipeane taabu za kusoma
 
Maandamano bila sera. Kazi kuongea utumbo tu.

Zinatafutwa ruzuku za wafadhili. Miezi ya kupanga bajeti hii duniani.
 
Hata cheo hakimpendezei yaani Katakata pumzi mapema sana.

Mpaka naye anajistukia..Nchimbi hata hatishi hana mvuto tena!

Bwana mdogo tu anawafunika mpaka miguuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…