kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Labda mvua ndio italeta lakini kwa hayo matembezi yamshikamano sahau!Tlulionya Mapema sana kwamba haya maandamano ya Chadema yataleta madhara makubwa sana lakini tukapuuzwa .
Ikiwa ndio kwanza yameanza leo , Tayari viongozi wa ccm washaanza kutoa machozi ya damu .
Hebu mwangalieni Pedeshee Amos Makalla akilalamika huko Mbinga .
View attachment 2971202View attachment 2971203