Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

Labda mvua ndio italeta lakini kwa hayo matembezi yamshikamano sahau!
 
Soma comments hapa chini πŸ‘‡πŸ‘‡
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mbona sasa anaieneza CDM!?. πŸ˜‚
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Ila we mtu kuna wkt unazingua kama Lucas πŸ˜‚,jitahidi kua objective kwenye threads zako,ushauri tu lkn
 
Wanao andika hivi wapo geto na hela ya bando wanaomba omba. Ndo Tanzania hii. Kama wewe hufanyanyi maandamano waache wanaofanya wafanye watakavyo sababu hata hawakusumbui.
Walioandamana wakapewa hela ya bando au? Upuuzi
 
Mbona sasa anaieneza CDM!?. πŸ˜‚

Ila we mtu kuna wkt unazingua kama Lucas πŸ˜‚,jitahidi kua objective kwenye threads zako,ushauri tu lkn
Kila anayenilinganisha na Huyo mshamba namuona Mjinga na mgeni sana Jf , sifanani na yeyote hapa jf , labda kama wako wanaofanana na mimi
 
..Jambo la msingi ni HOJA / MADAI ya hao wanaoandama.

..Watu wanaoandamana maana yake wana shida au kilio wanachotaka kuwafikia watawala.

..Kiongozi wa chama tawala anayepuuza kilio cha wananchi wake anakosea.

..Mwenezi wa chama tawala alipaswa kutoa majibu kwa malalamiko na kilio cha waandamanaji.

..Kusema kwamba hakuna kilichobadilika / kitakachobadilika ni kutokuzingatia uwajibikaji, na utawala bora.
 
Hata cheo hakimpendezei yaani Katakata pumzi mapema sana.

Mpaka naye anajistukia..Nchimbi hata hatishi hana mvuto tena!

Bwana mdogo tu anawafunika mpaka miguuni
Maza ameamua kujaza wazee kwenye hizi nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…