Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

Siungu mkono chadema ila simuungi mkono chawa mwashamba eti mama aendelee muhula mwingine. Kwanza ukweli mama hajashinda muhula wowote kwa hivyo hajawahi kuchaguliwa kua rais wa jamhuri. Mama ni mrithi tu wa chaguo la kipenzi chao magufuli aliyetwaliwa mapenzi ya mungu. Mama alipwaya sana mwanzo hadi kuwachukiza sana wapenzi wa chaguo lao magufuli. Siku za karibuni mama inaelekea amerudi kwenye mstari kwa kujitenga na wahuni na kuwaondoa wale vinara serikali.
Wanamapinduzi ndani ya ccm tunachotegemea kwa mama ni kuhakikisha nchi inampata kiongozi mwingine shupavu mwenye maarifa na mzalendo kama magufuli. Mama akilitendea taifa hivyo hakika tutamkumbuka kwa heshima kubwa na kuthamini mchango wake mtukufu.
 
Tutaendelea kuwa na mama mpaka 2030 na tukitaka tunaweza kumuongezea hadi 2035 panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu
 
Badala ya kuhangaika na tatizo watu wanahangaika na matokeo ya tatizo. Akili za kuambiwa........
 
Hivi CCM pamoja na maprofesa na ma doctor wote wanashindwa kujibu simple questions mpaka watumie polisi waliofeli darasa la saba. Au hizo digrii zao ni feki kama chana chenyewe?
 
Hivi CCM pamoja na maprofesa na ma doctor wote wanashindwa kujibu simple questions mpaka watumie polisi waliofeli darasa la saba. Au hizo digrii zao ni feki kama chana chenyewe?
Nenda kaandamane ndugu yangu ndio utoe na dukuduku zako huko huko barabarani
 
Na muwalipe posho zao hao polisi mliowaswaga kuja kuandamana mjini kwa niaba ya wananchi sio mwezi ujao waje hapa jamvini kuomba tuwapazie sauti kwamba washapigwa na wakubwa wao kama kawaida, tusisikie mwingine kaenda kutumia mfuko wao SA tena
 
Ulijificha wapi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…