Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

Mliyateka maandamano mkaanza kuandamana nyinyi watanzania,kumbuka huwezi kulazimisha ng'ombe kunywa maji ndio maana tumeona walau matumizi ya kodi kwenu waandamanaji.
 
Bora hakukuwa na maandamano..ila sasa maandamano wangefanyeje wakati wana usalama washatangulia kuandamana kupinga maandamano?
 
Sijui muda wa kuandika upuuzi unatoaga wapi!?
 
What's the justification?
 
Nimekusoma na kubaini akili yako ni ndogo sana. Bado una mambo ya kitoto sana. Kua ukomae wewe mtoto Acha kushabikia mambo kama taahira.
 
Nimekusoma na kubaini akili yako ni ndogo sana. Bado una mambo ya kitoto sana. Kua ukomae wewe mtoto Acha kushabikia mambo kama taahira.
Ondoa hasira zako hapa baada ya maandamano kushindikana na wewe mwenyewe kujificha uvunguni huko.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…