Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma.
Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata watu wa msikiti wapo kimya kabisa.
Nani anayeweza kuvumilia dhiki, watu hawana maji, hawana pesa, rushwa imetamalaki Nani avumilie?, watu wanaweza kuvumilia mfumo wa utawala wako ikiwa mambo ni Safi huku kuna utawala Bora.