Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.
Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao.
Waandamanaji wanataka Lissu aachiwe, afu serikali inawatuma vibaka kina Katuga, kuhairisha kesi Kila siku.
Sasa uko Arusha watalii wamekauka.
Aione
DPP