Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

Leta izo data
Wewe ndio ulete data za cancelation..

Kwa uchache tu, fatilia bookings za ndege leo muda huu uone zilivyokuwa full na ndege zipo overbooked zingine.

Maandamano siyapingi nayasapoti ila taarifa za kupotosha si nzr.
 
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.

Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao.

Waandamanaji wanataka Lissu aachiwe, afu serikali inawatuma vibaka kina Katuga, kuhairisha kesi Kila siku.

Sasa uko Arusha watalii wamekauka.

Aione
DPP
We waache wakaze fuvu wanajiharibia wenyewe halafu wanapiga mayowe kuwa kuna watu wanaichafua nchi, udhalimu wao kwa wapinzani ndiyo unaichafua nchi na watu waanze kuogopam kuja Tanzania.
 
Yes,
Kama nchi ya kitalii, tunatarajia kuyasafisha magenge ya kihalifu yote na vile vikundi vyote vya kigaidi katika maeneo yote nchini.

hata hivyo,
watalii kutoka pande zote za ulimwengu, tunawahakikishia amani ya uhakika wanapoinjoy mambo mbalimbali ya kitalii kote nchini.


Ni muhimu zaidi kupuuza propaganda za wafuata mkumbo 🐒
Ndiyo mmeamua kuja na mbwa mwitu awamu hii sio,hivyo ndivyo mmedanganyana kukwepa icc?
 
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.

Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao.

Waandamanaji wanataka Lissu aachiwe, afu serikali inawatuma vibaka kina Katuga, kuhairisha kesi Kila siku.

Sasa uko Arusha watalii wamekauka.

Aione
DPP
Hili ndicho wajinga wa ccm hawakukijua
 
Hii serikali ingekuwa kama ndo mwanafunzi darasani basi angekuwa ni yule mwanafunzi kilaza anayeshika nafasi za mwisho darasani.
 
Back
Top Bottom