Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa.

Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao.

Waandamanaji wanataka Lissu aachiwe, afu serikali inawatuma vibaka kina Katuga, kuhairisha kesi Kila siku.

Sasa uko Arusha watalii wamekauka.

Aione
DPP
 
HAYA
 
Arusha inategemea utalii kama mhimili wake mkuu wa kiuchumi. Booking zikifutwa, athari haishishii kwa wamiliki wa mahoteli au makampuni ya magari tu; inamshukia hadi mpishi, dereva (tour guide), muuza vinyago, na mkulima anayepeleka mboga hotelini. Ni mnyororo mrefu sana wa thamani unaoumia.
 
Who cares?
 
Yes,
Kama nchi ya kitalii, tunatarajia kuyasafisha magenge ya kihalifu yote na vile vikundi vyote vya kigaidi katika maeneo yote nchini.

hata hivyo,
watalii kutoka pande zote za ulimwengu, tunawahakikishia amani ya uhakika wanapoinjoy mambo mbalimbali ya kitalii kote nchini.


Ni muhimu zaidi kupuuza propaganda za wafuata mkumbo 🐒
 
Bitch
 
Nani kakwambia hii nchi inauzalendo? Vyombo vya dola vinalinda wezi wa mali za umma halafu wanapandikiza hofu kwa wananchi kwa kuwaua
 
Hakuna kitu kama hicho.. Watalii wanazidi kuja.. inabid mje na statistical data kuonyesha upungufu wa watalii.

Ishu ya USA na IRAN ndio ilikuwa tishio kuliko tetesi za haya Maandamano.

Tunategemea wageni wengi hapo July.
 
Nani kasema nchi inategemea utalii tu? Kilimo madini havitaadhirika
 
Inatuhusu nini sisi familia ya Kizimkazi? Mtajua wenyewe.. Ngoja kwanza mabilioni tuliyochuma Tanganyika tukayafiche Omani
 
Hakuna kitu kama hicho.. Watalii wanazidi kuja.. inabid mje na statistical data kuonyesha upungufu wa watalii.

Ishu ya USA na IRAN ndio ilikuwa tishio kuliko tetesi za haya Maandamano.

Tunategemea wageni wengi hapo July.
Leta izo data
 
Nani kasema nchi inategemea utalii tu? Kilimo madini havitaadhirika

Hayo madini bado ni yenu? 😄 hata mbuga soon zitakuwa sio zenu tena, si umeona Ngorongoro wenye mji wao washatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…