Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Eswathini kamatieni hapohapo
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima ya dikteta ni kufurushwa madarakaniAnanikumbusha mfalme Geanendra wa Nepal alivyo furushwa na wananchi wake mwaka 2001
Ndugu yangu nawajua watu wa Swaziland. Wamegawanyika balaa. Kuna hiyo koo ya kichief ambao wamekamata jeshi, polisi hadi mabenki. Kama hii ni kweli mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini.Ndiyo tayari kimenuka. Huwezi kuwafanya watu wote ni mafala kwa muda wote.
Time will tell, hii movement itasambaa nchi zote za AftikaKutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi....
Huyu jamaa alijisahau sana. Muache akae pembeni kidogo. Ni kula na kuoa tu. Hana kazi nyingine
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi...
Ikifuatiwa na Unguja, Pemba na Comoro. Hata Mbeya kwenye nyumba hii kanisa hili bikra ni bidhaa adimu.Mbona wanaharibu nchi, kutakua hakuna tena mabikira, at least ndiyo nchi pekee chini ya jangwa la Sahara lenye concentration kubwa ya bikira
i beg to differ with you my sister, yes uk might be invovled but this is another era my dear, things are hotting up there, and soon a change is comingHuyu ni mamluki wa Waingereza na alisoma Eaton. Watafanya hila za kumrudisha.
Hata huko Uingereza kuna siiku watataka waachane na tawala za kifalme.Hakuona mbali, wakati mapinduzi ya Ufaransa yalipotokea, Mfalme wa Uingereza aliamua kuwe na Demokrasia na waliamua Waziri Mkuu na Wabunge wachaguliwe na wananchi.
Yeye ni kula kulala abebi zege ugumu wa maisha aujulie wapiSio kuongeza wake tu mkuu, nchi nzima kila mtu anakatwa kodi kwa ajili ya kuitunza familia ya mfalme, kwahiyo yeye haoni uchungu kuendelea kuoa na kuzaa, anajua mnamchangia.