Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

Anashindana kununua magari na kuongeza vidosho vikali Kwa raha zote hizi duniani ni ngumu Sana kutatua shida za wananchi

King-Mswati-of-Swaziland2-405x675.jpg


200px-Princess_Sikhanyiso_Dlamini-001.jpg


EaFHmgfX0AMpVaf.jpg


swazi-men-women1557745193287_aspR_1.429_w1000_h700_e400.jpg


EaFHnXBXQAoLtdM.jpg


King-Mswati-of-Swaziland2-405x675.jpg


Screenshot_20210629_135411.jpg
 
Tangu amekua mfalme hadi sasa anakua na wakeze wangapi maana kila mwaka lazima ajichagulie binti kigori.
 
Ndiyo tayari kimenuka. Huwezi kuwafanya watu wote ni mafala kwa muda wote.
Ndugu yangu nawajua watu wa Swaziland. Wamegawanyika balaa. Kuna hiyo koo ya kichief ambao wamekamata jeshi, polisi hadi mabenki. Kama hii ni kweli mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini.
 
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi....
Time will tell, hii movement itasambaa nchi zote za Aftika
 
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi...

Mahitajio ya watu kwa ajili.ya haki na usawa hayajwahi kuzuiwa milele.
 
Tina siyaufuna Umtwalo wa Nsangu kxha
 
Mbona wanaharibu nchi, kutakua hakuna tena mabikira, at least ndiyo nchi pekee chini ya jangwa la Sahara lenye concentration kubwa ya bikira
Ikifuatiwa na Unguja, Pemba na Comoro. Hata Mbeya kwenye nyumba hii kanisa hili bikra ni bidhaa adimu.
 
Sio kuongeza wake tu mkuu, nchi nzima kila mtu anakatwa kodi kwa ajili ya kuitunza familia ya mfalme, kwahiyo yeye haoni uchungu kuendelea kuoa na kuzaa, anajua mnamchangia.
Yeye ni kula kulala abebi zege ugumu wa maisha aujulie wapi
 
Nipo swaziland kwasasa hali ya usalama ni mbaya sana police wameishiwa nguvu, waandamanaji wanapeana zamu kuingia barabarani usiku na mchana
 
Maandamano ya kushinikiza Katiba Mpya nchini Eswatini yanatajwa kuwa sababu ya mfalme Muswati kuikimbia nchi hiyo kwa mujibu wa Shirika la utangazaji la Afrika Kusini (SABC).

Licha ya vikosi vya usalama vya Eswatini kutumia nguvu kupambana na waandamanaji uharibifu wa mali mbalimbali bado unaendelea.

Maandamano hayo kwa kiasi kikubwa yamefanywa na vijana na yalishika kasi mwishoni mwa wiki iliyopita licha ya jitihada za Serikali kuyapiga marufuku.

Waandamanaji hao wamekuwa wakimtaka mfalme Muswati atoe nafasi ya mageuzi ya kidemokrasia na uchaguzi huru na haki.

CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI, 30 JUNI, 2021.


mswatipic.jpg
 
Back
Top Bottom