Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil.

=======================

Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC to oppose the ICE arrest of former Columbia University student Mahmoud Khalil.

⚡️🇺🇸🇵🇸BREAKING:

Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC to oppose the ICE arrest of former Columbia University student Mahmoud Khalil.

Video credit: ScooterCasterNY - FNTV -BT News.

View: https://x.com/suppressednws/status/1899207776770920875?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waislamu wenzio wanaua watu wasioamini dini yenu (Christians & Alawites) Huko Syria wee uko busy na wapalestina.
Hawa wengine wanaouwawa siyo watu?Mbona husemi kitu?
 
Hao waarabu mbona huko kwenye nchi zao walizozikimbia mbona hawawezi kuandamana dhidi ya serikali zao za kiimla, maandamano yanayo ruhusiwa ni yale ya kuziunga mkono tu hizo serikali kandamizi.
Katika watu Dunia hii wasioogopa ni waarabu, nakupa Challenge Nioneshe wewe toka Umezaliwa umewahi ona maandamano makubwa kushinda Arab spring? So kusema hawawezi Andamana ni hoja ya kipuuzi wakati tumeshuhudia maandamano yaliyodondosha serikali kadhaa muda si mwingi.

In short ukiwa Kiongozi wa waarabu na hutendei watu haki mostly utapinduliwa tu.
 
Back
Top Bottom