Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

Na
Katika watu Dunia hii wasioogopa ni waarabu, nakupa Challenge Nioneshe wewe toka Umezaliwa umewahi ona maandamano makubwa kushinda Arab spring? So kusema hawawezi Andamana ni hoja ya kipuuzi wakati tumeshuhudia maandamano yaliyodondosha serikali kadhaa muda si mwingi.

In short ukiwa Kiongozi wa waarabu na hutendei watu haki mostly utapinduliwa tu.
Na Gadafi alikuwa hatendei watu haki ? Maana aliondoshwa na vuguvugu la Arab spring
 
Wanakumbi.

Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil.
=======================
⚡️🇺🇸🇵🇸BREAKING:

Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC to oppose the ICE arrest of former Columbia University student Mahmoud Khalil.

Video credit: ScooterCasterNY - FNTV -BT News.

View: https://x.com/suppressednws/status/1899207776770920875?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Si waende saudia,Qatar, Egypt, wakaandamane? Hao dawa Yao, futa uraia fukuza
 
Wanakumbi.

Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil.

=======================

Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC to oppose the ICE arrest of former Columbia University student Mahmoud Khalil.

Tatizo linaaanzia hapa "AIPAC" Wamarekani hawana chao tena, kwasababu ya noti Muisrael ameshawashika!

View: https://x.com/Real_Politik101/status/1839201395792294314

View: https://x.com/TrackAIPAC/status/1898238317810139565
 
Na

Na Gadafi alikuwa hatendei watu haki ? Maana aliondoshwa na vuguvugu la Arab spring
Ghadafi kaondoshwa na Jeshi la ufaransa likishirikiana na waasi, Maandamano Tripoli Yalikua ni ya kumuunga mkono Ghadafi,

View: https://www.bbc.com/news/av/world-africa-13998833

Sema vyote hivyo havina maana, niliemquote anasema waarabu hawaandamani kwa viongozi wao hoja ambayo imetolewa na mtu asiejua kinachoendelea duniani sababu Arab spring sio tu Yalikua ni maandamano bali yalitoa Serikali kibao madarakani kuanzia Algeria, Tunisia, Egpty hadi Yemen na indirect ndio pia Yamemtoa Ghadafi na Assad wa Syria. Hayakubakisha nchi yoyote salama even Saudia, Oman etc kote kulikua na maandamano makubwa.
 
Back
Top Bottom