Waislamu wenzio wanaua watu wasioamini dini yenu (Christians & Alawites) Huko Syria wee uko busy na wapalestina.Wanakumbi.
Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil.
=======================
⚡️🇺🇸🇵🇸BREAKING:
Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC to oppose the ICE arrest of former Columbia University student Mahmoud Khalil.
Video credit: ScooterCasterNY - FNTV -BT News.
View: https://x.com/suppressednws/status/1899207776770920875?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Propaganda za zionism za antisemitism zimefeli vibaya saba zionist wako uchi hawan tena victim cardTrump alituamisha wanaondamana Marekani ni wageni😂
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1899097917354320055?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hayo mambo yana maslahi gani kwa nchi yetu
Watu wameishatambua kuwa hawa ni wauaji.Propaganda za zionism za antisemitism zimefeli vibaya saba zionist wako uchi hawan tena victim card
Kwani unayoandika humu yanaingeza vp pato la nchi yetyHayo mambo yana maslahi gani kwa nchi yetu
Wewe punguani kweli.Hao waarabu mbona huko kwenye nchi zao walizozikimbia mbona hawawezi kuandamana dhidi ya serikali zao za kiimla, maandamano yanayo ruhusiwa ni yale ya kuziunga mkono tu hizo serikali kandamizi.
Katika watu Dunia hii wasioogopa ni waarabu, nakupa Challenge Nioneshe wewe toka Umezaliwa umewahi ona maandamano makubwa kushinda Arab spring? So kusema hawawezi Andamana ni hoja ya kipuuzi wakati tumeshuhudia maandamano yaliyodondosha serikali kadhaa muda si mwingi.Hao waarabu mbona huko kwenye nchi zao walizozikimbia mbona hawawezi kuandamana dhidi ya serikali zao za kiimla, maandamano yanayo ruhusiwa ni yale ya kuziunga mkono tu hizo serikali kandamizi.