baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Sema Israel na Usa wanaua, Usimung'unye meno, si tulikubaliana hao ni watu wazuri na marafiki wa Israel? Tukawasafisha na media zote za Magharibi?Waislamu wenzio wanaua watu wasioamini dini yenu (Christians & Alawites) Huko Syria wee uko busy na wapalestina.
Hawa wengine wanaouwawa siyo watu?Mbona husemi kitu?
Sikia wewe punguani mambo ya dini peleka jukwaa la dini hoja hapa ni.Waislamu wenzio wanaua watu wasioamini dini yenu (Christians & Alawites) Huko Syria wee uko busy na wapalestina.
Hawa wengine wanaouwawa siyo watu?Mbona husemi kitu?
Wewe mlokole wa Iponiola, hawa ni Wazungu warudishwe wapi?Warudishwe tu makwao wana Nchi nyingi za Kiarabu.
Mbona Saudi Arabia hawaandamani kuhusu ndugu zao.Wewe mlokole wa Iponiola, hawa ni Wazungu warudishwe wapi?
View: https://x.com/ryanrozbiani/status/1899286206032044152?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kafungue uzi…Mbona Saudi Arabia hawaandamani kuhusu ndugu zao.
Hawa nao vipi?Kama anaunga mkono magaidi afurushwe tu hamna namna.
Sisi kampeni yetu ilikuwa ni Free Dr.Slaa na ameachiliwa baada ya kuteswa bila sababu.
Mbona mlikuwa kimya?!
Sisi kampeni yetu ilikuwa ni Free Dr.Slaa na ameachiliwa baada ya kuteswa bila sababu.
Mbona mlikuwa kimya?!