Maandamano ya kumpongeza Dkt. Nchemba kwa bajeti nzuri

Maandamano ya kumpongeza Dkt. Nchemba kwa bajeti nzuri

Wenzetu wakenya wanaandamana kupinga uozo wa sheria za kiuchumi huku kwetu kuna mipunguani inawaza uchawa tu, ipo busy kusifia upuuzi iki mradi mikono iende kinywani.
 
Lengo lako ilikuwa uone mapokeo ya wadau hapa, akili yako ni hamna kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom