dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Uzi umekaa kiwaki mkuuππ π π unavuruga uzi
Ukamfanyaje mwenzio maisara? πnjoo Maisara
Binafsi nimekuelewa!! Ulikuwa unachokoza tuHaya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
Jamaa anachokoza tu. Sidhani kama yuko serious.Umekosa kabisa uwezo wa kujitafutia riziki yako kwa njia halali kiasi cha kuamua kuudhalilisha utu wako kwa kiwango hiki?
Unazo akili kweli weweHaya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
Chawa wa asubuhiHaya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
πHaya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
πππUkamfanyaje mwenzio maisara? π
Na mi nakuja natokea mazizini.
MwembenjuguHapa Unguja tunakutana wapi? Nipo Bwejuu
Naunga mkono hojaVaaa vava vava vavayo... π€¬π€¬π€¬
This is a stale joke!Haya ndugu zangu inafaa kumpongeza Dr. Nchemba Kwa bajeti makini ya kuondoa utegemezi na umaskini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vaaa vava vava vavayo... [emoji2959][emoji2959][emoji2959]