Hayajaanza leo mbona wanaandamana mara wachome magari ya tesla, watishie wanaoyaendesha. Siku hizi hadi baadhi ya watu wanabandika logo za brand zingine kwenye magari. Wamechoma ahdi magari na kuvamia dealers wa tesla. Yapo tu kila sikuMaandamano hayo yamefanyika kupinga utawala wa kipindi cha pili cha rais Trump pamoja na swahiba yake Ellon Musk.
Waandamanaji hao walishika mabango wakisema hatukutaki na wengine wakisema awekwe ndani .
Tangu mwezi uliopita mali kadhaa za Ellon Musk ambaye alikuwa mfadhili mkubwa wa Trump zimekuwa zikihujumiwa
Tajiri huyo amepata hasara ya mauzo kwa zaidi ya bilioni 100 ambayo yamewashangaza watu wa wall street kwamba anguko la nmna hiyo hawajalirekodi kwa muda mrefu.
‘Hands Off’ protesters rally across US to oppose Trump’s policies
sasa ni kwa Trump mwenyeweHayajaanza leo mbona wanaandamana mara wachome magari ya tesla, watishie wanaoyaendesha. Siku hizi hadi baadhi ya watu wanabandika logo za brand zingine kwenye magari. Wamechoma ahdi magari na kuvamia dealers wa tesla. Yapo tu kila siku
Mashoga wanaandamana vipi unawasupportsasa ni kwa Trump mwenyewe
Watatulizwa tu. Ila trump anawapa tabu na hao mabilionea wanaipata pata kweli maana wanapoteza fedha sana. nasikia soon elon atastep down kutoka kuiongoza dogesasa ni kwa Trump mwenyewe
Mambo ya Marekani hayakuhusu. Jikite kuzungumzia habari za mafilisti na Iran huko.sasa ni kwa Trump mwenyewe
Propaganda, angekuwa na chuki hiyo mkuu huyo trump asingemfanya mhindi akawa kiongozi wa CIA. By the way mimi nakubaliana na trump kwenye mambo ya inclusivity. Huwezi kuwaajiri watu kisa ni shoga, kisa mwafrika, kisa mwanamke. badala yake waajiri watu kwa uwezo wao na ndiyo maana makampuni kama meta yamekimbilia kuanza utekelezaji baada ya sera hiyo kufutwa.Shida ya hao matajiri wawili ni wanachuki na races nyengine, chuki yao wanaionyesha waziwazi na kivitendo huku wakisahau nchi wanayoiongoza ni mchanganyiko wa races mbalimbali!..
Huyu musk mwenyewe kapewa tu uraia huko wala si mzaliwa!, na anachuki na ngozi nyeusi sijui walimfanya nini kule Africa kusini.
Kwa wanayoyafanya wasipowekewa speed governer sijui tu!, hii ndo shida mfanya biashara kupewa nchi wale maswala ya utawala wangewaachia wengine tu wenyewe wakadili na biashara zao!, wasifikiri watu ni mazwazwa kiasi hicho.. imefikia hatua musk anamshauri trump amuachie yule polisi aliemuua George!..
ile nchi ni kama imeanza kuteua watu wenye maruhani tu!, na heri bado kuna watu wanajitambua lkn kama na huko kwenye majeshi yao wapo wasiojitambua nakujiona wao ndio first and last walahi tunaenda kuingia kwenye vita ya nuclear muda si mrefu!
Mi sijazungumzia ajira ama watu kuwa favoured, kauli zao na mambo yao yafatilie utaelewaPropaganda, angekuwa na chuki hiyo mkuu huyo trump asingemfanya mhindi akawa kiongozi wa CIA. By the way mimi nakubaliana na trump kwenye mambo ya inclusivity. Huwezi kuwaajiri watu kisa ni shoga, kisa mwafrika, kisa mwanamke. badala yake waajiri watu kwa uwezo wao na ndiyo maana makampuni kama meta yamekimbilia kuanza utekelezaji baada ya sera hiyo kufutwa.
Trump's brain is resembling shrimp's brainMaandamano hayo yamefanyika kupinga utawala wa kipindi cha pili cha rais Trump pamoja na swahiba yake Ellon Musk.
Waandamanaji hao walishika mabango wakisema hatukutaki na wengine wakisema Trump na Musk wawekwe ndani .
Tangu mwezi uliopita mali kadhaa za Ellon Musk ambaye alikuwa mfadhili mkubwa wa Trump zimekuwa zikihujumiwa
Tajiri huyo amepata hasara ya mauzo kwa zaidi ya bilioni 100 ambayo yamewashangaza watu wa wall street kwamba anguko la nmna hiyo hawajaliona kwa muda mrefu.
View attachment 3294615
Trump chizi ila wamarekani ni machizi zaidi. Nao wanamezeshwa fake news kila uchwao. Jana nimekutana na post moja ikisema kuwa kuna binti alikuwa PA wa musk miaka ya nyuma. Binti aliomba kuongezwa mshahara musk akampa likizo ya wiki mbili aliporudi akamwambia hamhitaji tena so akamwachisha kazi. Comments sasa za wasiompenda wanasema ana roho mbaya, binti alikuwa akimfanyia kazi zake zote akamfukuza hivyo na kalikuwa kabinti kadogo.Mi sijazungumzia ajira ama watu kuwa favoured, kauli zao na mambo yao yafatilie utaelewa
Mimi naona kama vile Trump hana tofauti na hitler. Ukitazama tensions siku zote huanza kwa taifa moja kuanza mambo ya nationalism na kiongozi huwa anafanya akidai na kwa maslahi ya taifa lake na watu wake. Ulaya nashangaa kwanini hawataki kusema, imagine ingekuwa ni china anasema anataka kisiwa fulani kwa ajili ya maslahi ya kiusalama ya nchi yake?Propaganda, angekuwa na chuki hiyo mkuu huyo trump asingemfanya mhindi akawa kiongozi wa CIA. By the way mimi nakubaliana na trump kwenye mambo ya inclusivity. Huwezi kuwaajiri watu kisa ni shoga, kisa mwafrika, kisa mwanamke. badala yake waajiri watu kwa uwezo wao na ndiyo maana makampuni kama meta yamekimbilia kuanza utekelezaji baada ya sera hiyo kufutwa.
kwenye biashara vita lazima sijui wanajikuta ni wanani wale jamaa wawiliTrump chizi ila wamarekani ni machizi zaidi. Nao wanamezeshwa fake news kila uchwao. Jana nimekutana na post moja ikisema kuwa kuna binti alikuwa PA wa musk miaka ya nyuma. Binti aliomba kuongezwa mshahara musk akampa likizo ya wiki mbili aliporudi akamwambia hamhitaji tena so akamwachisha kazi. Comments sasa za wasiompenda wanasema ana roho mbaya, binti alikuwa akimfanyia kazi zake zote akamfukuza hivyo na kalikuwa kabinti kadogo.
Kumbe story ni kwamba, alitaka kumpa cheo kikubwa zaidi kwa sababu kazi aliyokuwa anaifanya ilikuwa kubwa kwa wakati huo baada ya kampuni kukua, so wakaigawa kwa watu kadhaa. binti akakataa alitaka kujiunga na kampuni nyingine, Musk akampa malipo ya week 52, na stocks kama shukrani kiasi kwamba binti hata angeamua kutofanya kazi, angeishi vizuri tu.
Lakini watu wa fake news hiyo sehemu waliacha makusudi maana haendani na wanachotaka.
Ila binafsi hata mimi toka kitambo namwona musk ni tapeli fulani hivi ambaye ni opportunist. Musk ukifuatilia kama kitu hakimfaidishi anakikandia. Ndiyo maana hata mpango wa trump wa kujenga data center ambao ulimhusisha CEO wa Open AI musk aliukandia kisa ana bifu naye.