Dagaa Tonge
New Member
- Nov 11, 2021
- 3
- 15
Democrat ndo waliyataka wangeweka mgombea mwanaume manywele asingetoboa hakika, watu walikosa alternative.trump wala hana makosa.
wenye makosa wamarekani wenyewe .maana walimpa nchi wakamuona uzuri wake na ubaya wake na sasa wameamua kumpa tena.sababu aliwafanyia mazuri mwanzo