Ila wanaoipata pata zaidi kwa sasa ni wao wenyewe. Juzi tu makampuni yao yamekula hasara ya jumla ya dola tilion 2.4. Bado vitu vinapanda bei maana hizo tarrifs wanazilipia wamarekani wenyewe na sidhani itakuwa rahisi makampuni kama Amazon, Nikee ghafla tu waweze kuanza kuzalisha bidhaa marekani. Hizo tarrifs zina disrupt supply chain ambayo hayo makampuni yamezitengeneza kwa muda mrefu.kwenye biashara vita lazima sijui wanajikuta ni wanani wale jamaa wawili
Yale hayakuwa maandamano ya wote. Yakikuwa majority.Hayajaanza leo mbona wanaandamana mara wachome magari ya tesla, watishie wanaoyaendesha. Siku hizi hadi baadhi ya watu wanabandika logo za brand zingine kwenye magari. Wamechoma ahdi magari na kuvamia dealers wa tesla. Yapo tu kila siku
wakizubaa wanaachia viti vile!Ila wanaoipata pata zaidi kwa sasa ni wao wenyewe. Juzi tu makampuni yao yamekula hasara ya jumla ya dola tilion 2.4. Bado vitu vinapanda bei maana hizo tarrifs wanazilipia wamarekani wenyewe na sidhani itakuwa rahisi makampuni kama Amazon, Nikee ghafla tu waweze kuanza kuzalisha bidhaa marekani. Hizo tarrifs zina disrupt supply chain ambayo hayo makampuni yamezitengeneza kwa muda mrefu.
Na bado. Gharama zitapanda na makampuni kama Nike, Amazon yataipata pata. Maana makampuni hayo yanategemea nchi kama china na vietnam kwa bidhaa wanazoziuza marakni mfano nguo, viatu, n.k. Sasa over a night uniambie huo uzalishaji utafanyika US? haiwezekani hata kidogo ama yatakufa, ama yataendelea kuuza kwa gharama kubwa tu hakuna namna.Yale hayakuwa maandamano ya wote. Yakikuwa majority.
Haya ya sasa ni baada ya trump ku impose tarrif ambayo imepandisha gharama za maisha juu
Hii imewagusa wote
Wazungu wanalipaje madhila waliyowafanyia Waafrika, wahindi wekundu, wanawake na mashoga waliokuwa Marekani kwa karne mbili??By the way mimi nakubaliana na trump kwenye mambo ya inclusivity. Huwezi kuwaajiri watu kisa ni shoga, kisa mwafrika, kisa mwanamke. badala yake waajiri watu kwa uwezo wao na ndiyo maana makampuni kama meta yamekimbilia kuanza utekelezaji baada ya sera hiyo kufutwa.
Wapewe nafasi za kusoma na kuelemika waajiriwe kwa uwezo wao si vinginevyo.Wazungu wanalipaje madhila waliyowafanyia Waafrika, wahindi wekundu, wanawake na mashoga waliokuwa Marekani kwa karne mbili??
Waziri wa ulinzi na wa elimu wa sasa wa Marekani wameajiriwa kwa uwezo wao?Wapewe nafasi za kusoma na kuelemika waajiriwe kwa uwezo wao si vinginevyo.
Sijui wanao mshauri trump about economy but wamempoteza, na asipochange reform, congress watakuwa forced kuanza impeachment process for the second timeNa bado. Gharama zitapanda na makampuni kama Nike, Amazon yataipata pata. Maana makampuni hayo yanategemea nchi kama china na vietnam kwa bidhaa wanazoziuza marakni mfano nguo, viatu, n.k. Sasa over a night uniambie huo uzalishaji utafanyika US? haiwezekani hata kidogo ama yatakufa, ama yataendelea kuuza kwa gharama kubwa tu hakuna namna.
Hakuwaajiri kwa inclusivity, so kama mtu anaamua kumwajiri mtu kwa mapenzi yake isiwe sheria inayomlazimisha kama iliyokuwepo kwamba lazima uwe na watu hawa na hawa haijalishi wanajua au hawajui lazima wawepo. Wewe ungependa sheria ya kukulazimisha ufanye hivyo kwenye biaishara yako?Waziri wa ulinzi na wa elimu wa sasa wa Marekani wameajiriwa kwa uwezo wao?
Hivi kwenye congress ni chama kipi kinaongoza? Ni republican au demos?Sijui wanao mshauri trump about economy but wamempoteza, na asipochange reform, congress watakuwa forced kuanza impeachment process for the second time
Hakujawahi kuwa na sheria Marekani inayolazimisha makampuni au taasisi kuajiri watu wasio na uwezo au wa jamii fulani.Hakuwaajiri kwa inclusivity, so kama mtu anaamua kumwajiri mtu kwa mapenzi yake isiwe sheria inayomlazimisha kama iliyokuwepo kwamba lazima uwe na watu hawa na hawa haijalishi wanajua au hawajui lazima wawepo. Wewe ungependa sheria ya kukulazimisha ufanye hivyo kwenye biaishara yako?
Actualy hawana ministry (wizara), ila wana departmentsWaziri wa ulinzi na wa elimu wa sasa wa Marekani wameajiriwa kwa uwezo wao?
Kwa sasa ni kama wako 50/50, republican wanaongoza in house representantive,wana viti vingi, while democrat wana viti vingi senate.Hivi kwenye congress ni chama kipi kinaongoza? Ni republican au demos?
Democrats wakishinda bunge mwakani huenda wakuridisha mamlaka ya tarrif kwa Congress maana Katiba yao imeweka hayo mamlaka kwa Congress ila kuna wakati bunge walitunga sheria za bunge kukasimisha hayo mamlaka kwa rais. Kwa wendawazimu huu wa Trump wanawesa kuyarudisha kwa bunge tu.Sijui wanao mshauri trump about economy but wamempoteza, na asipochange reform, congress watakuwa forced kuanza impeachment process for the second time
Mkuu mimi nimekuwa nikifanya kazi na Meta remotely, na kila mwaka lazima watukumbushe sera zao za privacy na inclusivity ili kuendana na sera za diversity. Yani ni somo inabidi usome upya na kulifanyia mtihani na wanakulipa kwa kufanya hivyo. Ukisoma ilikuwa ni kama vile walikuwa wanalazimishwa kufanya hivyo na sera za serikali. Trump alivyoingia tu hizo sera za diversity wameziondoa na wakatoa ujumbe kabisa kuwa kwa sasa hiyo sera ya diversity haipo tena.Hakujawahi kuwa na sheria Marekani inayolazimisha makampuni au taasisi kuajiri watu wasio na uwezo au wa jamii fulani.
Democrats wamekuwa na sera za kuweka quota kwenye makampuni au taasisi kwa ajili ya watu wa makundi fulani na serikali za Democrats zikawa zinawapa rewards au incentives taasisi au kampuni zinazozingatia kufikia hivyo viwango/quota, hakukuwa na sheria za kulazimisha.
Dunia imekuwa na ukichaa na UN sasa haina meno kabisa yani mimi naona kama kituko. Ili iwepo balance labda ipiganwe vita ya tatu.Kwa sasa ni kama wako 50/50, republican wanaongoza in house representantive,wana viti vingi, while democrat wana viti vingi senate.
Hamna nchi inataka WWIII, after wwii kuna effect mpaka leo zinaendelea. It not a good thing kwakwelDunia imekuwa na ukichaa na UN sasa haina meno kabisa yani mimi naona kama kituko. Ili iwepo balance labda ipiganwe vita ya tatu.
Vyuma vimeanza kukaza huko..watalimia meno safari hii..Maandamano hayo yamefanyika kupinga utawala wa kipindi cha pili cha rais Trump pamoja na swahiba yake Ellon Musk.
Waandamanaji hao walishika mabango wakisema hatukutaki na wengine wakisema Trump na Musk wawekwe ndani .
Tangu mwezi uliopita mali kadhaa za Ellon Musk ambaye alikuwa mfadhili mkubwa wa Trump zimekuwa zikihujumiwa
Tajiri huyo amepata hasara ya mauzo kwa zaidi ya bilioni 100 ambayo yamewashangaza watu wa wall street kwamba anguko la nmna hiyo hawajaliona kwa muda mrefu.
Source: CNN
View attachment 3294615
View attachment 3294623