Maandamano yaanza kwenye majimbo yote 50 Marekani kupinga utawala wa Donald Trump

Hamna nchi inataka WWIII, after wwii kuna effect mpaka leo zinaendelea. It not a good thing kwakwel
Sio kwamba naiombea itokee ila hizi tension huyu kamtisha huyu, huyu kamtisha huyu kuna siku italipuka vita na itakuwa kubwa. Kuna kipindi US ilikuwa inaogopwa sana, sasa hiyo error ni kama inapita na jinsi muda unavyokwenda ndivyo hali hiyo inapungua. Itafika muda hakuna kiranja.
 
trump wala hana makosa.
wenye makosa wamarekani wenyewe .maana walimpa nchi wakamuona uzuri wake na ubaya wake na sasa wameamua kumpa tena.sababu aliwafanyia mazuri mwanzo
 
Trump awe makini
wakimlenga tena kwa risasi hatopona
sidhani kama atamaliza muhula wake wake wa pili
 
Dunia imekuwa na ukichaa na UN sasa haina meno kabisa yani mimi naona kama kituko. Ili iwepo balance labda ipiganwe vita ya tatu.
Itakapopiganwa vita ya 3 watu wote watakuwa na heshima sana na UN itavunjia yenyewe kwani ilianzishwa na walioshiriki kupigana vita ya 2 kwa maslahi yao tu.Wameshaitumia sana.
Israel ndiyo imepelekea kuipotezea heshima UN na ni bora kwani ni kwa hasara yake na faida kwa dunia.
 
trump wala hana makosa.
wenye makosa wamarekani wenyewe .maana walimpa nchi wakamuona uzuri wake na ubaya wake na sasa wameamua kumpa tena.sababu aliwafanyia mazuri mwanzo
Rushwa na mambo ya IT ya Ellon Musk.
Mfumo wa upigaji kura US unaruhusu kubadili akili za watu kila uchaguzi ukikaribia kufikia mwisho.Kunakuwa na propaganda nyingi kwamba mgombea fulani ndio yuko karibu kushinda hivyo waliobaki wanapiga kura kinyume na matakwa yao.
 
Vikundi vinavyodharaulika kule US kwamba ni vya kigaidi na vya watu wajinga kama Houth angalia sasa hawakomi kurusha maroketi kuzilenga meli za kivita za US ambazo hata Urusi na China hawajawahi kufanya hivyo.
 
Acha upumbavu wewe, kwani kutaja marekani wewe inakuuma!!! Ni mjomba wako kwani au shobo tu??? Acha utoto...
Mambo ya Marekani hayakuhusu. Jikite kuzungumzia habari za mafilisti na Iran huko.
H
 
Jana bado kidogo niende DC kuangalia Cherry Blossom.

Ningeenda ningekutana nayo haya maandamano.
 
sawa.wamuache amalizie muda wake
 
Trump anaiua marekani kwa kasi sana, uchumi unaooromoka vibaya sana
Uchumi ni watu, sasa hizi vurugu anazofanya makampuni mengi yameanza kupunguza wafanyakazi badala ya kuajiri kama trump alivyotegemea
Uzalishaji umeshuka kwa sababu ya tarriffs zake
Marekani amekuwa siyo reliable partner tena kwa rafiki zake
CHina kama importer mkubwa wa bidhaa za chakula wa marekani ameweka tarriffs kiasi kwamba wakulima wa marekani watashindwa kuuza chakula chao na hawa ndio ma racist na biggest supporters wa marekani
Kwa sasa marekani inaelekea kubaya sana, marekani ilikuwa inaingiza hela nyingi sana on visasa including international student visas kwa sasa mradi unaenda kufa watu hawataki kwrnda kusoma tena marekani na hawataki kupoteza hela zao za visa maana hapaeleweki
 
Wana wizara(cabinet), Secretaries ndio mawaziri wenyewe. Captain wa jeshi ni cheo cha mbali sana kutoka General. Ni kituko kumchagua mtu kuongoza taasisi yenye budget ya $bilioni 800 kwa sababu alikuwa anapigana vita tu. Huyo Pete Hegseth amechaguliwa kwa sababu alikuwa mtangazaji MAGA wa Fox News anayempamba Trump kwenye kila ujinga wake na ndiye Secretary wao defence katika historia yao aliyepata kura chache zaidi za maseneta wakati wa kuthibitishwa.

Trump hakukosa mtu kutoka US Generals zaidi ya 4,000 ila tatizo wengi wao walio maarufu hawamkubali na sio rahisi kumpelekesha jenerali wa jeshi la Marekani.
 
Kabisa yani huu ujinga wake umewaathiri zaidi wamarekani kuliko hayo mataifa mengine, as a super power dunia nzima tunaathirika kiuchumi
 
Ww kweli dish limeyumba yaani Unashangaa maandamano USA na Europe?

Ila sikulaumu maana unaishi kwenye shithole country ambako kuandamana ni kosa la jinai.
 
Ww kweli dish limeyumba yaani Unashangaa maandamano USA na Europe?

Ila sikulaumu maana unaishi kwenye shithole country ambako kuandamana ni kosa la jinai.
Tukumbushe lini yalifanyika maandamano ya kumshutumu raisi.
Nijuavyo mengi huwa ni maandamano ya mashoga wakitetea mambo yao.
 
Kama tungekuwa tunajitambua hapa Tanzania ndio tungetakiwa tuanze kuandamana kabla hata ya huko Marekani kwa namna nchi ilivyo hoi kiuchumi hadi leo zaidi ya nusu ya watanzania wanaishi chini ya dola moja kwa siku huku serikali ikibakia mtazamaji..!!!

Nusu ya watanzania wanaishi kwa mlo mmoja tu kwa siku na tena ni mlo wa kibabaishaji kabisa huku watu wanaendesha nchi wakiipora kila uchao.
 
Tukumbushe lini yalifanyika maandamano ya kumshutumu raisi.
Nijuavyo mengi huwa ni maandamano ya mashoga wakitetea mambo yao.
Wewe unayeshindia chai ya rangi na mihogo mchemsho lini umewahi kuandamana kupinga ufisadi unaofanywa nchini kwako.
 
Tukumbushe lini yalifanyika maandamano ya kumshutumu raisi.
Nijuavyo mengi huwa ni maandamano ya mashoga wakitetea mambo yao.
Haijalishi ni maandamano ya kitu Gani unachotakiwa kujua maandamano huko ni kitu cha kawaida, watu Wana wanamtukana Rais wa nchi Nini maandamano?

Huko hata wewe ukililia kuolewa unaruhusiwa kuandamana kudai haki Yako .na hutobugudhiwa.
 
Safari hii wasipige sikio was mpige utosi
 
Hii ni ras
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…