Maandamano yaanza kwenye majimbo yote 50 Marekani kupinga utawala wa Donald Trump

trump wala hana makosa.
wenye makosa wamarekani wenyewe .maana walimpa nchi wakamuona uzuri wake na ubaya wake na sasa wameamua kumpa tena.sababu aliwafanyia mazuri mwanzo
Democrat ndo waliyataka wangeweka mgombea mwanaume manywele asingetoboa hakika, watu walikosa alternative.
 
Mbona hiyo ni mwanzo tu
 
Marekani hawalalamikii mlo kama sisi.Hali imekuwa tete serikali inavunja katiba yake na vitisho vimekuw ni vingi.
Kila mtu ana hofu ya kukamatwa hata ikiwa anakula mara 4 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…