baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Watawala ni muda kubadilika wenye mamlaka ya Mwisho ni Umma nguvu ya Umma haijawai kushindwa na Chochote Amiri Jeshi Mkuu Uwa anakimbia kupitia mlango wa Nyuma naomba watawala badilikeni Muda hauko Upende wenu jitafakari sana kitendo cha Nyie kuimba maadamno kuanzia Rais mpaka viongozi wote ni mafanikio Umma unawatazama badilikeni tendeni Haki nendeni na wakati maandamano imekua kama product iko midomoni mwa viongozi watu Marketing wanaelewa. Ni kwamba kuna sauti zinasikika kwa chini japo mnaweza kuziminya kwa kutumia vyombo vya dola but hizi Sauti siku zikiungana itakua Mbaya sana