Maandamano yasiyo na ajenda ni Wizi na Uhaini. TEC, CCT BAKWATA, WALOKOLE na WASABATO wakemee

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.

Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na kiongozi wa maandamano hayo ajulikane. Kama viongozi wa dini wanataka kuanzisha maandamano hayo wajulikane wanatoka wapi na kuelekea wapi.

But tofauti na hapo ni Nchi ya Tanzania kuwa kipindi cha hatari.
Watu waelewe Mwanajeshi anafundishwa mafunzo ya kumzimisha adui.

Viongozi wa dini waambieni waumini wenu
 
Kuna mtu anaweza kusema kwamba hajawahi kuona shetani anaongea.....
 
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.

Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na kiongozi wa maandamano hayo ajulikane. Kama viongozi wa dini wanataka kuanzisha maandamano hayo wajulikane wanatoka wapi na kuelekea wapi.

But tofauti na hapo ni Nchi ya Tanzania kuwa kipindi cha hatari.
Watu waelewe Mwanajeshi anafundishwa mafunzo ya kumzimisha adui.

Viongozi wa dini waambieni waumini wenu

Kumanyoko, tukishairudisha Nchi mikononi mwetu, Utatueleza ,kwà Sasa endelea kua 'Usojulikana'.

Ila utapatikana
 
Tulia kidogo kaka..muda c mrefu nchi inarud kwenye mikono ya wananchi...naomb akuwaombea radhi waandamanaji...
 
Venus star = Lucas Mwambalaswa.....naignore kila anachoandika kuanzia leo. Maana amejizima data muda tu
 
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.

Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na kiongozi wa maandamano hayo ajulikane. Kama viongozi wa dini wanataka kuanzisha maandamano hayo wajulikane wanatoka wapi na kuelekea wapi.

But tofauti na hapo ni Nchi ya Tanzania kuwa kipindi cha hatari.
Watu waelewe Mwanajeshi anafundishwa mafunzo ya kumzimisha adui.

Viongozi wa dini waambieni waumini wenu
Vipi tume ya uchaguzi isiyokuwa huru?
BAKWATA wakemee pia?
 
Tulia tu mkuu..mambo mazur yanakuja..hata wajukuu zako watakujq kufurahia huko mbeleni...
Unapoteza Energy bure. Energy unayoitumia kutaka kuandamana ungeenda kufyeka pori uanze kulima. Acha uzembe wewe.
 
Si kila mtanzania awe mkulima mkuu..mfn tu we unavyovuna elf7 hapo lumumba kwan kuna shamba?
 
Back
Top Bottom