Aah..huyu najua akili zake kaka..wala asikupe shida...akili zao zinajulikana kwa hyo unapita nae humo humo cz ni kama unafanya nurturing kwa mtoto mdogo tuhasikupotezee muda, keshajizima data, maisha yake anategemea jamii forums. Kuanzisha nyuzi za kufurahisha watawala wenye kunuka damu