President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kuna mtu anaweza kusema kwamba hajawahi kuona shetani anaongea.....Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.
Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na kiongozi wa maandamano hayo ajulikane. Kama viongozi wa dini wanataka kuanzisha maandamano hayo wajulikane wanatoka wapi na kuelekea wapi.
But tofauti na hapo ni Nchi ya Tanzania kuwa kipindi cha hatari.
Watu waelewe Mwanajeshi anafundishwa mafunzo ya kumzimisha adui.
Viongozi wa dini waambieni waumini wenu
Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.
Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na kiongozi wa maandamano hayo ajulikane. Kama viongozi wa dini wanataka kuanzisha maandamano hayo wajulikane wanatoka wapi na kuelekea wapi.
But tofauti na hapo ni Nchi ya Tanzania kuwa kipindi cha hatari.
Watu waelewe Mwanajeshi anafundishwa mafunzo ya kumzimisha adui.
Viongozi wa dini waambieni waumini wenu
Ndio umedanganywa hivyo? Utaliwa kichwa halafu muanze kulia lia tena.Tulia kidogo kaka..muda c mrefu nchi inarud kwenye mikono ya wananchi...naomb akuwaombea radhi waandamanaji...
Tulia tu kaka...ni suala la muda..tunakuletea nchi nyumban..ni kama huamini...ila liweke hili akilin mwakoNdio umedanganywa hivyo? Utaliwa kichwa halafu muanze kulia lia tena.
Ndio Kwa nini asipate?Ukiandamana atapata?
Ukigongwa usipige keleleNdio Kwa nini asipate?
Tulia tu mkuu..mambo mazur yanakuja..hata wajukuu zako watakujq kufurahia huko mbeleni...Unajidanganya wewe. Unataka unyolewe mavuzi kwa chupa Kwikwikwikwikwi
Kelele zipi wakati wewe unaogopa maandamanoUkigongwa usipige kelele
wajukuu awapate wapi huyu ni uvccmTulia tu mkuu..mambo mazur yanakuja..hata wajukuu zako watakujq kufurahia huko mbeleni...
Vipi tume ya uchaguzi isiyokuwa huru?Nimekaa na kutafakari kwa kina. Kumeibuka makundi ya vibaka na majambazi kutoka kona zote za Tanzania kutumia mwanya wa maandamano kuharibu na kufanya ujambazi.
Maandamano yasiyo na ajenda, yasiyo na kiongozi ni kujaribu kutaka kuleta uasi bila sababu.
Maandamano lazima yawe na ajenda na kiongozi wa maandamano hayo ajulikane. Kama viongozi wa dini wanataka kuanzisha maandamano hayo wajulikane wanatoka wapi na kuelekea wapi.
But tofauti na hapo ni Nchi ya Tanzania kuwa kipindi cha hatari.
Watu waelewe Mwanajeshi anafundishwa mafunzo ya kumzimisha adui.
Viongozi wa dini waambieni waumini wenu
Aah..namshauri tu..ushaur unaweza kupokelewa au kukataliwa mkuuwajukuu awapate wapi huyu ni uvccm
hasikupotezee muda, keshajizima data, maisha yake anategemea jamii forums. Kuanzisha nyuzi za kufurahisha watawala wenye kunuka damuAah..namshauri tu..ushaur unaweza kupokelewa au kukataliwa mkuu
Unapoteza Energy bure. Energy unayoitumia kutaka kuandamana ungeenda kufyeka pori uanze kulima. Acha uzembe wewe.Tulia tu mkuu..mambo mazur yanakuja..hata wajukuu zako watakujq kufurahia huko mbeleni...
Si kila mtanzania awe mkulima mkuu..mfn tu we unavyovuna elf7 hapo lumumba kwan kuna shamba?Unapoteza Energy bure. Energy unayoitumia kutaka kuandamana ungeenda kufyeka pori uanze kulima. Acha uzembe wewe.
Tanzania ni nchi ya kilimo. Zaidi ya hapo wewe ni jambaziSi kila mtanzania awe mkulima mkuu..mfn tu we unavyovuna elf7 hapo lumumba kwan kuna shamba?
negative energy uliyonayo ni mbaya mnoTanzania ni nchi ya kilimo. Zaidi ya hapo wewe ni jambazi