Maandamano yasiyo na ajenda ni Wizi na Uhaini. TEC, CCT BAKWATA, WALOKOLE na WASABATO wakemee

hasikupotezee muda, keshajizima data, maisha yake anategemea jamii forums. Kuanzisha nyuzi za kufurahisha watawala wenye kunuka damu
Aah..huyu najua akili zake kaka..wala asikupe shida...akili zao zinajulikana kwa hyo unapita nae humo humo cz ni kama unafanya nurturing kwa mtoto mdogo tu
 
We ni mpumbavu sana ulitaka kiongozi awe nan? Kama kama walikupitia na wew ulikuwa una husika hizi inchi za africa bado sana .

Eti tunataka kuandaman tuombe ruhusa .utaomba ruhusa kwa nan?
Kiongozi wa nin ?ili awekwe kizuizini.
Wew ukiaona vp hy tarehe 09/12 kaa linda mali yako siyo kuja kuandika ujinga na upumbavu kama huu.
 
Haya mambo si wameyataja polisi.
Badala ya Kuwalinda watu wanao andamana, Ili kuzuia vurugu, na ukora usio na sababu, wao wamekua wakiwatisha, kuwakamata na kuwaua.

Leo mambo yakiwashinda ndo mnatafuta viongozi
 
NEGATIVE Energy yako ni demonic, aliyekuajiri uje humu amekula hasara kubwa. Presentation zako humu hazisaidii walikutuma. You are such a liability ton ccm and a country.
Wewe hiyo Energy yako POSITIVE ya malaika inakusaidia nini? **Kwikwikwikwikwi
 
Tuliza ubongo acha kuandika kwa kurupuka Kwikwikwikwikwi
Watu kama nyie tunajua mnamilik vijiwe vya kahawa..ndo uridh mlopewa na wazee wenu wa mcm kwa hyo hata hamtusumbui huku mtaani mkuu..we ndo redio mbao hapo kijiweni kwa mzee wako
 
Nyie wakenya wala hamnisumbui kabisa. Mnajulikaka Kwikwikwikwikwi
Yaani kila anaandika kiingereza ni Mkenya, kweli tuna safari ndefu. Najua sera ya CCM watu wajue kiswahili tu halafu muwafungie humu ndani ya nchi tu. Naona unajua kiswahili tu. Utatumiwa na CCM mpaka ukizeeka unakuwa ombaomba tu.
 
Yaani kila anaandika kiingereza ni Mkenya, kweli tuna safari ndefu. Najua sera ya CCM watu wajue kiswahili tu halafu muwafungie humu ndani ya nchi tu. Naona unajua kiswahili tu. Utatumiwa na CCM mpaka ukizeeka unakuwa ombaomba tu.
Comments zako tangu mwanzo zinanichekesha kweli kiswahili chako cha ugoko. Wewe ni Mkikuyu au Mkamba?
 
Nyumbu zikiwa zinaandamana kudai haki, hawa dawa yao ni kupiga risasi hizi nyumbu zote.
View attachment 3502445
Watakuja hadi huko kwako kutembelea tu.wew hapo ambacho uelewi ni nn?

Hapo wananchi wamerudisha kodi zao .makato makubwa yana fanyia biashara za watu .

Kwann wasibebe .ingewezekana na kiwanda chote kingewaka na moto kabisa.

Kama wew ni mtu mwenye akili timamu ijuilizi .kwa nn?
1.isiwe sheli ya puma ,total energy,munio n.k why iwe lake tu?

2.kwa nn? Isiwe katarama ,kimbinyiko,tilisho na n.k why iwe shabby,ester n.k

3. Njoo kwa hao wasani kuna msaani ambeye ajihusishi na siasa ametembelewa ?
 
Mwendo Kasi je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…