Maandamano yazuka Peru Wananchi kutoamini mchakato wa uchaguzi unaoendelea

Maandamano yazuka Peru Wananchi kutoamini mchakato wa uchaguzi unaoendelea

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu uadilifu wa mchakato huo.

Maafisa wamesema zaidi ya wapiga kura 63,000 mjini Lima na maeneo mengine, ikiwemo baadhi walioko nje ya nchi, watapewa fursa ya pili kupiga kura leo tarehe 13 Aprili, baada ya karatasi za kura kushindwa kufika katika vituo kadhaa vya kupigia kura, hali inayoongeza hofu kuhusu uwazi na ushiriki wa wapiga kura katika uchaguzi ambao tayari una ushindani mkali ukiwa na wagombea 35.

Zaidi ya watu milioni 27 wamejiandikisha kupiga kura, wakiwemo takriban milioni 1.2 wanaoishi nje ya nchi. Ushiriki ni wa lazima kwa raia wenye umri kati ya miaka 18 hadi 70, na wale wasiopiga kura wanaweza kutozwa faini ya hadi takriban euro 30.

Wapiga kura pia wanachagua Bunge jipya lenye mabaraza mawili kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 30, kufuatia mageuzi yaliyorejesha Seneti yenye viti 60 pamoja na Bunge la chini lenye wabunge 130, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Bunge katika kuisimamia serikali.

1776068174071.png

============

The disruption has sparked protests across the country, as many voters point to irregularities and question the credibility of the process, despite repeated assurances from electoral authorities that the outcome will reflect the popular will.

Officials said more than 63,000 voters in Lima and other areas, including some abroad, would be given a second chance to vote on Monday, 13 April, after ballot papers failed to reach dozens of polling stations. The delay means results are unlikely before at least 14 April, fuelling concerns over transparency and turnout in what is already a tightly contested race with 35 candidates.

The election is taking place against a backdrop of rising crime and deep political instability, with Peru having had nine presidents in the past decade. More than 27 million people are registered to vote, including around 1.2 million overseas, and participation is mandatory for citizens aged 18 to 70, with fines of up to about €30 for those who do not take part.

With no candidate expected to secure more than 50 per cent of the vote, a runoff in June appears likely. Voters are also choosing a new bicameral Congress for the first time in more than 30 years, following reforms that reintroduce a 60-seat Senate alongside a 130-member lower house, strengthening the legislature’s role in overseeing the executive.

Source: African news
 
Back
Top Bottom