Maandazi ni chakula lakini yamegeuzwa kuwa tusi ama madharau

Maandazi ni chakula lakini yamegeuzwa kuwa tusi ama madharau

Adryz

Senior Member
Joined
Dec 7, 2025
Posts
194
Reaction score
527
Utakuta watu wakitofautiana wanabaki kutukanana maandazi wewe ama andazi wewe.

Sasa kwanini andazi ama maandazi itumike kwenye lugha chafu wakati ni kitafunio pendwa?

Utakuta hadi kiazi nayo imekosewa heshima. Utasikia kiazi wewee.

Hivi sisi Niggers tuna shida gani?

adriz de mbusii
 
Pia Kande hivyo hivyo. Utakuta watu wanatukanana ushashiba kande na kuvimbiwa ndo maana unabwabwaja.
 
20260401_100958.jpg
 
Back
Top Bottom